Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
- Thread starter
- #101
Naona wanaongelewa wadada tu ndo wenye nuksi wakaka wao wana baraka tu[emoji23][emoji23]
Hata wanaume wana mabalaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona wanaongelewa wadada tu ndo wenye nuksi wakaka wao wana baraka tu[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na nitaoa mwanao ili nikukomeshe..😁
Na wengi wao hawana maendeleo yoyote , wanahangaika tuu( pepo ya ngono aka marine spirit)Tendo la ngono linabeba bahati,mikosi na hata laana za watu unaolala nao usipokuwa makini unaumia.
“Kuna mwanamke/Mwanaume ukilala naye bahati zinakutembelea na Kuna mwingine, utajuta”
“Kuna watu wana laana za ukoo ukilala nae na wewe unazibeba mikosi inaanza”
“Kabla hujalifanya tafakari unafanya na nani, kwa ajili ya nini, matokeo yake ni yepi”
“Tena sana na ndio maana unakuta wale wenye wanawake/wanaume 9 mpaka 11 na kuendelea ukiwachunguza vizuri akili zao hua lesi muda wote.”
Sasa akili inaachaje kuwa race wakati kila mwanamke anampa changamoto, na waweza kukuta hata kipato chake sicho kinachoweza kumudu mahitaji ya wake wote hao na watoto wake , !?Tendo la ngono linabeba bahati,mikosi na hata laana za watu unaolala nao usipokuwa makini unaumia.
“Kuna mwanamke/Mwanaume ukilala naye bahati zinakutembelea na Kuna mwingine, utajuta”
“Kuna watu wana laana za ukoo ukilala nae na wewe unazibeba mikosi inaanza”
“Kabla hujalifanya tafakari unafanya na nani, kwa ajili ya nini, matokeo yake ni yepi”
“Tena sana na ndio maana unakuta wale wenye wanawake/wanaume 9 mpaka 11 na kuendelea ukiwachunguza vizuri akili zao hua lesi muda wote.”
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]Nachunguzaje sasa wkt kichwa cha chini kimewaka moto?
Ukiyaamini hayo makitu lazima yakuvaa ila kama huna time nao hayana effectHizi propaganda nishazikataa kitambo Sana. Kuna watu wanaloweka rungu kila siku na pesa wanayo tu.
Vipi akina uwoya kwamba wao wanakutana na wanaume wasio na mikosi maishani mwao?
Unaambiwa mengi alikuwa mzee wa totozi ile mbaya mbona Mali zake zipo hadi leo? Mudy je kwamba haoloweki?
Rickrosee msanii mmarekani amepiga hadi akina mobeto mbona anazidi kutusua tu. Hii Mimi sikubaliani nayo lete nyingine .
Umaskin Mara nyingi Ni background tu. Kama mababu zako walikuwa wavivu enzi hizo ambapo Mali zilikuwa zinapatikana kirahis tofauti na Sasa basi ndio matokeo ya umasikini wa leo kwenye ukoo wenu.
Nimejaribu kuchunguza Sana familia nyingi za zamani ambazo zilikua na unafuu yaani wazee ambao walijiongeza na kusomesha hata watoto wawili saizi koo zao hazina njaa Wala shida maana wanapeana tu connection.
Zamani Kuna wazee walikuwa wajanja walinunua ardhi kwa Bei ya kutupwa Sana hasa kwa wale ambao hawakuwa na subira.
Kuna wazee waliuza mifugo na kusomesha watoto wao huku wazee wengine wakitumia hiyo mifugo kuoa wanawake wengi na ndio hao wamesababisha had leo Koo zao ziwe maskini.
Narudia Tena umasikini wa sisi watanzania tulio wengi umesababishwa na mababu zetu, saizi mtu unakuta huna hata pakuanzia, mtu unasoma lakini Nani wakukushika mkono? Nani msomi kwenu ambae yupo kitengo? Nani kwenu walau Ni mpambanaji tokea kitambo kwamba saizi Ana jina au alishatengeneza jina?
Umasikini huanzia hapo Sasa kila unapogusa ni pachungu ndipo mawazo ya kuhusi una mikosi huja Sasa kumbe huna mikosi Bala huna connection .
Kongole Sana mkuu , You said it all [emoji375]Hizi propaganda nishazikataa kitambo Sana. Kuna watu wanaloweka rungu kila siku na pesa wanayo tu.
Vipi akina uwoya kwamba wao wanakutana na wanaume wasio na mikosi maishani mwao?
Unaambiwa mengi alikuwa mzee wa totozi ile mbaya mbona Mali zake zipo hadi leo? Mudy je kwamba haoloweki?
Rickrosee msanii mmarekani amepiga hadi akina mobeto mbona anazidi kutusua tu. Hii Mimi sikubaliani nayo lete nyingine .
Umaskin Mara nyingi Ni background tu. Kama mababu zako walikuwa wavivu enzi hizo ambapo Mali zilikuwa zinapatikana kirahis tofauti na Sasa basi ndio matokeo ya umasikini wa leo kwenye ukoo wenu.
Nimejaribu kuchunguza Sana familia nyingi za zamani ambazo zilikua na unafuu yaani wazee ambao walijiongeza na kusomesha hata watoto wawili saizi koo zao hazina njaa Wala shida maana wanapeana tu connection.
Zamani Kuna wazee walikuwa wajanja walinunua ardhi kwa Bei ya kutupwa Sana hasa kwa wale ambao hawakuwa na subira.
Kuna wazee waliuza mifugo na kusomesha watoto wao huku wazee wengine wakitumia hiyo mifugo kuoa wanawake wengi na ndio hao wamesababisha had leo Koo zao ziwe maskini.
Narudia Tena umasikini wa sisi watanzania tulio wengi umesababishwa na mababu zetu, saizi mtu unakuta huna hata pakuanzia, mtu unasoma lakini Nani wakukushika mkono? Nani msomi kwenu ambae yupo kitengo? Nani kwenu walau Ni mpambanaji tokea kitambo kwamba saizi Ana jina au alishatengeneza jina?
Umasikini huanzia hapo Sasa kila unapogusa ni pachungu ndipo mawazo ya kuhusi una mikosi huja Sasa kumbe huna mikosi Bala huna connection .
Muhimu Sana [emoji375][emoji375][emoji457][emoji16][emoji16]Mwanaume kujiundergrade ni ujuha mkuu. Standard ziwepo kwa kweli.
Hii nakubali [emoji457][emoji375]. Ni nature ndio inakuletea hivyo vitu Mambo ya law of attraction hayo , vile unavyo waza na kutenda ndio unavyo kuwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]Nakuna wengi ukitembea nao unakua harufu ya nyapu demu yoyote akikuona anaanza kuloa chupi ukigusa tu unamfanya matusi bila tatizo lolote
Jamaa alichokisema kina ukweli ndani yake, Tena ukweli mkubwa sanaMkuu ebu punguza lawama kwa vizazi vilivyotutangua, kuna utajiri wa aina nyingi ikiwemo huo wa kurithi uliouzumgumzia sana. Lakini kumbuka si wote wanaorithishwa mali nyingi huwa wanaweza kuendeleza mali hizo au tu hata kuzilinda ziendelee kuwepo. Tatizo la sisi vijana wengi huwa tukiona mtu kafanikiwa huwa tunafikiri ni rahisi, utajiri wa mtu una siri tofauti ambazo si kla mtu atakuambia. Muhimu ni kupambana na kuwa na subira, Kuzaliwa masikini sio kosa, bali kufa masikini hilo ni kosa lako na sio watu wanaokuzunguka.
5ml mbali Sana huko , [emoji16][emoji16][emoji16]unakuta ukoo una watu 1000 lakini hakuna mwenye uwezo wa kumboost mwenzie hata mtaji wa 5mil
Kwa Koo zetu za kimasikini hiyo ml-5 mtu hawezi kukupa ,huo ndio utajiri wa mtu na usikute hapo anawaza kujenga kwa pesa hiyo hiyo [emoji16][emoji16][emoji16]unakuta ukoo una watu 1000 lakini hakuna mwenye uwezo wa kumboost mwenzie hata mtaji wa 5mil
Nakuelewa SanaAcha kukurupuka Soma vizuri comment yangu na elewa mstari kwa mstari.
Nimezungumzia Mambo mawili ,Elimu na Biashara sema kwavile kichwa chako kimejaa mafua basi wewe umeelewa hivyo.
Ukweli Ni mchungu Koo nyingi Ni maskin Sana sabab Ni background za mababu zao .
Fuatilia Koo zenye unafuu wa maisha kwasasa Ni either mababu walisomesha watoto wao au hao mababu waliwekeza Sana kwenye ardhi na Mambo ya Biashara plus ufugaji.
Mababu wengi hasa ambao hawakua na maono ya baadae walikua wanauza Sana ardhi pengine kubadirishana hata na vinywaji km pombe au chakula.
Matatizo yote huanzia hapo .
Pengine km hujatembea sehem mbali mbali ,ukisikia ukoo wa fulan Ni maarufu na wanajulikana Sana jua mababu waliwekeza Sana kwenye hayo maeneo so hata kupeana michongo wajukuu inakua rahis Sana na kutoboa pakufikia tu.
Ingawa wapo wanaotoboa from zero to hello yaan Hana connection na mtu lakin anapambana kimungu mungu anatoboa lakin Ni wachache ukilingamishana na wale ambao wanapeana Raman za maisha .
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Naona wanaongelewa wadada tu ndo wenye nuksi wakaka wao wana baraka tu[emoji23][emoji23]
Hii nakubali [emoji457][emoji375]. Ni nature ndio inakuletea hivyo vitu Mambo ya law of attraction hayo , vile unavyo waza na kutenda ndio unavyo kuwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
Tujue kwanza ngono ni nini
Tujue pia mikosi ni nini
Na pia balaa na hizi roho chafu ninini.
Kwa maoni yangu yote yanayoweza kuhusinishwa na ngono nje ya uzazi ni imani tu.
Kwamba ngono inakupa starehe
Kwamba ngono inakupa mikosi
Kwamba ngono inakuunganisha na roho chafu
Kwamba ngono inakupa bahati
Kwamba ngono inakupa balaa
Hizi zote ni imani tu na dhana.
Kitu pekee cha halisi kinachopatikana kwenye ngono ni muendelezo wa uzazi.
Hili la mikosi, bahati mbaya, bahati nzuri, balaa na yasemekanayo ni imani kama zilivyo imani nyingine ambazo vile unavyoamini wewe ni tofauti na mwingine, kama ilivyo huku kwetu tumaini kula nguruwe sio shida lakini kwa wengine ni shida.
Huyu anaekula nguruwe mpaka leo hajashuhudia madhara yatokanayo na kula nguruwe, na yule asiye kula hajapata madhara kwa kutokula kwake nguruwe.
Tunapo husisha ngono na imani zetu ndio tunakuja na majibu ya jumla kwa wote bila ya kudhani kuna wengine wanamtazamo tofauti nawe.
Hakuna Sababu ya kuwa na ukoo kama watu 1,000 hawawezi kumchangia mwenzao mtaji wa M5.unakuta ukoo una watu 1000 lakini hakuna mwenye uwezo wa kumboost mwenzie hata mtaji wa 5mil