Elections 2010 Tendwa kuweka historia?

Elections 2010 Tendwa kuweka historia?

Tendwa akifuata sheria na kumtosa ata loss nini kwani JK atakuwa rais tena rais si atakuwa Slaa .Go Tendwa onyesha busara fuata sheria si ulikuwa Judge ww weka historia
Re: Tendwa kuweka historia?

Hilo ndili lilikuwa swali la msingi. Mimi nadhani maamuzi yeyote yatamfanya Tendwa awe ameweka historia. Akiamua kumuwekea JK pingamizi ni historia, akiamua kutupilia mbali pingamizi ni historia pia.

Kama akilikubali pingamizi, atakuwa ameiweka TZ katika chart nzuri sana ya kuwa na free and fair election kwa vizazi vijayo, sheria hiyo ya gaharama za uchaguzi itaogopwa sana. Akiamua kutupilia mbali kwa sababu yeyote ile, basi hiyo sheria ndio itakuwa imezikwa moja kwa moja na hatutakaa tuisikie tena, si hivyo tu, atakuwa ameiweka Tanzania njia panda kwa sababu kwa dalili zote alichofanya JK na serekali yake ni rushwa! Ni baada ya Slaa kuziomba kura za wafanyakazi huo mchezo ulifanyika, shame on JK

Halafu ndugu zangu wafanyakazi, hako kanyongeza kanaweza kunyofolewa wakati wowote, sidhani kama mmemepewa hata barua, ni kuwa tu kameonekana kwenye pay check. Kanaweza kunyofolewa baada ya uchaguzi. Msikubali kutumiwa, mtanyanyaswa hadi muone raha. Mishahara yenu itakuwa inaongezwa tu wakati wa chaguzi, so ni vyema mkampuuza JK na kumpa kura mpinzani, kwani JK ameonyesha kuwa inawezekana kuwalipa mshahara huo, ni kuwa vile hawathamini na hakuona kama mnastahili kabla, ni baada ya kuona kura zenu ni muhimu anawahadaa kwa rushwa, shame on him again!

Aaah wapi!!! Hawezi kufanya kama ambavyo wengi wenu hapa mngependa. Kwa hiyo msijipe matumaini ya kitu ambacho hakiwezi kutokea.
 
Tuacheni ushabiki usiokuwa na utashi. TUCTA iliitisha mgomo nchi nzima: Madaktari, manesi, walimu, wafanyakazi wa ndani, mapolisi na hata wanajeshi walishawishiwa kugoma. Taasisi zote za umma na za binafsi. Ukweli ni kwamba Nchi ingesimama. Mgomo huu ulisitishwa kwa ahadi kwamba serikali ingefanya majadiliano na Wafanyakazi. Je hii haikuwa dharura? serikali iliwaita wafanyakazi na kuwaahidi majadiliano ambayo pamoja na mambo mengine, nyongeza ya mishahara ilikuwamo. Lakini tupate jibu moja kutoka kwa Dr. Slaa atawezaje kuondoa ukabila ulioko CHADEMA ambao uko waziwazi au nyie mashabiki wake mnataka Nchi igawanyike kwa Makabila

Dr Slaa alishindwa kujibu swali la mpiga kura wa Bahi aliyemuuliza atalipa vipi mshahara wa TZS 315,000; kusomesha wanafunzi mpaka kidato cha sita bure, huduma za matibabu bure nchi nzima wakati huo huo anaondoa na kupunguza kodi. Majibu yake aliyabrush out. Na hii inaonesha mwanzo wa ubabaishaji kama ule ule tu. Slaa hatoki mbinguni, ni Mtanzania, mwenye hulka, mila na desturi za kitanzania, hayo yanaonesha kwenye mwenendo na matendo yake halisi. Hebu mtazameni kwa undani hana jipya. Upya wake ni kugombea urais tu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Urais ni taasisi na Rais ni msimamizi tu wa taasisi hiyo. Sina uhakika Slaa amejiandaa vipi kitaasisi kwa sababu naona watu wanaomzunguka ni wale wanaokopa Benki halafu hawataki kulipa madeni, hawataki kulipa kodi za Serikali na uwezo wao wa kiuongozi ni QUESTIONABLE. lakini wengine ni makapi ya CCM ambao wamekwenda huko kama opportunists. Hili nalo lanipa shaka. Kwani Tabia haibadiliki uzeeni bali hukuzwa tangu utotoni. Mtu aliyekulia CCM kufikia miaka 50 kama baadhi ya wagombea ubunge wa CHADEMA wa majimbo fulani fulani hawatakuwa na PRECEDENTS mpya zaidi ya kufanya marejeo kwenye UZOEFU wao. Hamulioni hilo. REJEA tu kule KENYA, baada ya NARC ya Kenya kushika madaraka ufisadi uliongezeka badala ya kupungua, lakini NARC walikuwa kama SLAA.

Tujitazame upya sisi kama Watanzania, SLAA kakomazwa na kanisa katika uongozi ILA SAFU YAKE INAYOMZUNGUKA BADO haina uwezo, utashi wala umakini wa kuiendesha NCHI HII labda miaka ijayo sio sasa.
 
Tendwa ana mwanaye afanyae kazi IKULU.
mnataka atokomezwe yeye na kizazi chake?
Tujiandae kulalamika kwa uamuzi atakaoutoa.
Nshanusa uvundo
 
Tunahitaji mtu mmoja tuu wa kubadirisha hii nchi kama walivyofanya akina Jerry wa Ghana,Kagame Ruanda,na Jonathan NIgeria,wezi wote hawapaswi kupita watapumzishwa tuu amini usiamini Dr Slaa hoye -Peoples Power
 
Mjarida fulani anasema Chadema ni chama cha kikabila; haioni CCM ni chama cha ukabila wa kimafia kutunza na kunyonya nchi... angalia kwa Miaka Mingi Viongozi wa CCM ni wale wale... Ukijaribu kukikosoa chama Unatupwa baharini unakufa na Umasikini If they recruit a new young blood well good example Lau Masha ni mwizi kama hao wazee so what?

Acheni kulia na Ukabila wa Chadema... lets have a change Nchi ni Tajiri Tutaweza kuendelea...

Kumbuka kuwa Vyama Vya Upinzani TZ haviwezi kuwa kila kona kama CCM; Anagalia CUF na Maeneo ya Kilwa watairarua CCM
 
Tendwa ana mwanaye afanyae kazi IKULU.
mnataka atokomezwe yeye na kizazi chake?
Tujiandae kulalamika kwa uamuzi atakaoutoa.
Nshanusa uvundo

Watu wanaoijua vizuri concept ya "conflict of interest" hawawezi kufurahia hili.
 
Tunahitaji mtu mmoja tuu wa kubadirisha hii nchi kama walivyofanya akina Jerry wa Ghana,Kagame Ruanda,na Jonathan NIgeria,wezi wote hawapaswi kupita watapumzishwa tuu amini usiamini Dr Slaa hoye -Peoples Power

Swali hili limejibiwa vizuri sana,japo vyombo vya habari havitoi taarifa zote muhimu.

1. alijibu kwa kupunguza serikali hela nyingi zitaokolewa.
2. kusimamia rasilimali zetu vizuri
3.kusimamia makusanyo ya kodi vizuri.

source zote hizi zinavipato vikubwa sana ambavyo mpaka sasa hatujui serikali yetu inakusanya kodi kiasi gani kwa mwezi katika mambo yote,hivyo si halali kutaja mafanikio kwani mafanikio hayo yanalinganishwa na nini?

3/4 ya mapato katika serikali yetu inatumika katika kuendesha shughuli za kiofisi.

hii ni halali,kwamaana hiyo kutupa elimu bure inawezekana,kama baba zetu walisoma bure sisi je?

jambo hili ni la muhimu sana leo hii mtoto wa chekechea analipa karo niliyo lipa kidata cha sita kama tutaachia hii miaka mitano tutakuwa wapi?

leo mama Salma amepita Manyara na msafara wa magari 20 yakiwemo ya serikala na usalama wa taifa!!!!!!!!!!!!!!! hii si matumizi ya kodi zetu ambazo zinaweza kumtunza mama mjamzito hata kumlipia mtoto karo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

inasikitisha sana kama mke wa raisi naye ni raisi,....................

kwa maana hiyo inaw4ezekana na jibu lka swali hilo ni rahisi sana.
 
Kuweza anaweza kumuengua Kikwete; lakini anaweza kumpa onyo vile vile na anaweza kuona hana hatia yoyote ile
 
hayewezi kutumia kigezo cha madaktari kuongezewa kuwa precedent yaan reference kwani wakati huo sheria hii ilikuwa haipo sasa hivi Mgonjwa wa Taifa Zima anakabwa na sheria mpya
 
Kwanini tulazimishe ushindi wa mezani na kudharau uamuzi wa wananchi? Kama wananchi wamechoshwa na utawala wa JK wala hatuna haja ya kumtumia Tendwa kumwondoa JK madarakani. Sasa by default Tendwa anandaliwa kuwa kisingizio cha kushindwa kwa upinzani Tz, wapizani HATUNAZO.....kisingizio ambacho Tendwa can afford. Inakula kwetu.
 
Mbona mpaka sasa ushindi wa mezani umeshatolewa kwa wabunge 20 wa CCM au umuhimu wa uamuzi wa wananchi unazingatiwa pale tu CCM inapokiuka kanuni ya Uchaguzi ?
 
Hapo tutapata jibu sahihi kwa swali "Ofisi ya msajili wa vyama iko huru?" Jiandaeni tu kusikiliza upupu siku hiyo!
 
Tuacheni ushabiki usiokuwa na utashi. TUCTA iliitisha mgomo nchi nzima: Madaktari, manesi, walimu, wafanyakazi wa ndani, mapolisi na hata wanajeshi walishawishiwa kugoma. Taasisi zote za umma na za binafsi. Ukweli ni kwamba Nchi ingesimama. Mgomo huu ulisitishwa kwa ahadi kwamba serikali ingefanya majadiliano na Wafanyakazi. Je hii haikuwa dharura? serikali iliwaita wafanyakazi na kuwaahidi majadiliano ambayo pamoja na mambo mengine, nyongeza ya mishahara ilikuwamo. Lakini tupate jibu moja kutoka kwa Dr. Slaa atawezaje kuondoa ukabila ulioko CHADEMA ambao uko waziwazi au nyie mashabiki wake mnataka Nchi igawanyike kwa Makabila

Dr Slaa alishindwa kujibu swali la mpiga kura wa Bahi aliyemuuliza atalipa vipi mshahara wa TZS 315,000; kusomesha wanafunzi mpaka kidato cha sita bure, huduma za matibabu bure nchi nzima wakati huo huo anaondoa na kupunguza kodi. Majibu yake aliyabrush out. Na hii inaonesha mwanzo wa ubabaishaji kama ule ule tu. Slaa hatoki mbinguni, ni Mtanzania, mwenye hulka, mila na desturi za kitanzania, hayo yanaonesha kwenye mwenendo na matendo yake halisi. Hebu mtazameni kwa undani hana jipya. Upya wake ni kugombea urais tu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Urais ni taasisi na Rais ni msimamizi tu wa taasisi hiyo. Sina uhakika Slaa amejiandaa vipi kitaasisi kwa sababu naona watu wanaomzunguka ni wale wanaokopa Benki halafu hawataki kulipa madeni, hawataki kulipa kodi za Serikali na uwezo wao wa kiuongozi ni QUESTIONABLE. lakini wengine ni makapi ya CCM ambao wamekwenda huko kama opportunists. Hili nalo lanipa shaka. Kwani Tabia haibadiliki uzeeni bali hukuzwa tangu utotoni. Mtu aliyekulia CCM kufikia miaka 50 kama baadhi ya wagombea ubunge wa CHADEMA wa majimbo fulani fulani hawatakuwa na PRECEDENTS mpya zaidi ya kufanya marejeo kwenye UZOEFU wao. Hamulioni hilo. REJEA tu kule KENYA, baada ya NARC ya Kenya kushika madaraka ufisadi uliongezeka badala ya kupungua, lakini NARC walikuwa kama SLAA.

Tujitazame upya sisi kama Watanzania, SLAA kakomazwa na kanisa katika uongozi ILA SAFU YAKE INAYOMZUNGUKA BADO haina uwezo, utashi wala umakini wa kuiendesha NCHI HII labda miaka ijayo sio sasa.

Duh umetuwekea mseto mpk basi, umebadili topic ghafla mno mpaka nikapotea. Nafikiri hoja yako ungeiandika kama thread tofauti ingesomeka vizuri zaidi
 
I can bet my last shilling Tendwa hawezi kukubali pingamizi hili.
Kiranga, i am with you, I can bet my last breath, hawezi kukubali.. kama umekuwa ukimfuatilia huyu jamaa, na maneno yake mara baada ya hili lalamiko kupelekwa kwake utakuwa umepata jibu atakalotoa.... CHADEMA ni kwenda mahakamani tu , hamna kingine..
 
Sijui sheria inasema nini na inatoa maauzi ya namna gani katika hili. Je, Ni nini itakuwa reaction ya Serikali, Watanzania na Vyama kama moja kati ta maaumizi yafuatayo yatatolewa?
1. CCM imetiwa hatiani?
2. Rufaa imekataliwa?
3. CCM imepewa onyo?
 
Back
Top Bottom