Tennis: US Open 2019

Niliangalia jana mechi ya Serena yote. Huwa nakuwa nervous utadhani mie niko uwanjani. I just want her to win the next two grand slams in order to beat the record of 24 grand slam.

Last year kama utakumbuka alifungwa kwenye fainal na Osaka. Australia open January mwaka huu alikuwa anaongoza set ya pili kwenye nusu fainali na yule Pliskova 5-2 akapoteza na set ya tatu akacheza vibaya sana.

Wimbledon mwaka huu June Halep akamnyanyasa kwenye final.

Jana kacheza vizuri sana ila huwa anampania sana Sharapova kuliko mchezaji mwingine yeyote but if she can maintain that kind of performance I am 99% sure she’ll win her 24 grand slam.

She is already a GOAT 🐐 but I’d prefer to see her wins 24 & 25 before she retires.

 
Vero mimi mchezo wenyewe naelewa kwa mbali lakini navutiwa na hawa Serena na huyo ndugu yake

Safi sana. Ni rahisi sana kuuelewa, just watch two or three matches utakua ushajua. Ni kweli Serena na dada yake Venus ndio chanzo cha wengi wetu kuufuatilia huu mchezo. Enjoy tennis kimbendengu
NB: Natamani sana Serena ashinde hii US Open.
 

Mkuu BAK upo kama mimi, huwa naumia sana akishindwa, na nikiona dalili za kufungwa huwa naacha kuangalia kabisa naendelaea na shughuli zingine. Jana nilikua na woga sana siku nzima sikutaka afungwe na Maria [emoji16]
Australia open na Wimbledon ziliniuma sana hadi najishangaa [emoji23]. Akicheza kwa level aliyocheza jana i can bet she will take no 24
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kumbe siko peke yangu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Mie jana nilijua atashinda tu ila nilikuwa na wasiwasi kuhusu bega lake kwani mashindano yake ya mwisho kule Toronto alishindwa kuendelea kutokana na maumivu ya bega. Hopefully she’s 100% healthy to win another US Open.


 

Yani acha kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mi nina uoga kwamba one of these days Maria atamfunga Serena and all hell will break loose 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣Mashabiki wa Maria wanasubiria hiyo siku kama the second coming of Masiah [emoji16]. Hiyo siku inanitisha sana.
Halafu wote waliowahi kumfunga Serena (except Venus) nina beef nao kisirisiri, nafurahia wanapofungwa na yoyote yule.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tunamuita sharapovu siku hizi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 hilo la kumfunga Serena asahau kabisa.

Eti una bifu na waliomfunga Serena 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 uko kama mimi weyeeee halafu wakifungwa huwa nafurahia kweli lol! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Simona Halep kusema ukweli alicheza tenis nzuri sana. Alimpelekesha Serena mpaka basi. Simona alikuwa anadefend upana wa uwanja mpaka upana wa uwanja. Alikuwa kila mahali.
 
Wow,Serena alininyooshea Maria Sharapova. Ila Maria huwa anascream jamani. Utafikiri anapata orga....m.

Yani uliona eeh?! Hadi nilimhurumia na si kawaida yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilifurahi sana. Maria saa ingine inabidi kuweka β€œmute” majirani wasije wakakushangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simona Halep kusema ukweli alicheza tenis nzuri sana. Alimpelekesha Serena mpaka basi. Simona alikuwa anadefend upana wa uwanja mpaka upana wa uwanja. Alikuwa kila mahali.

Hiyo mechi niliacha kuangalia mwanzo tu, nikaona bora niende shamba nikalime kidogo, [emoji37][emoji37][emoji37] Yeah Halep is very good! Yani ameimprove sana anakimbiza kona hadi kona.Kana mbio balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…