Tennis: US Open 2019

Tennis: US Open 2019

Sidhani kama kuna anayepiga kelele kama Maria hata kwa wanaume anachukua nafasi ya kwanza tena kwa mbali tu.

Hahahahaha.Yaani Maria huwa ananipa mzuka na yale masauti yake. Bora katoka mapema.
 
Final ya Wimbledon kwa kweli Halep alicheza vizuri sana. Alikuwa anakimbia uwanja wote utadhani kafungwa betri 😂😂😂🤣🤣😂. Yaani kuna points nilikuwa nadhani hawezi kurudisha lakini alikuwa anakimbia na kuweza kurudisha.

Hiyo mechi niliacha kuangalia mwanzo tu, nikaona bora niende shamba nikalime kidogo, [emoji37][emoji37][emoji37] Yeah Halep is cery good! Yani ameimprove sana anakimbiza kona hadi kona.Kana mbio balaa.
 
Sidhani kama kuna anayepiga kelele kama Maria hata kwa wanaume anachukua nafasi ya kwanza tena kwa mbali tu.

Kabisa. Halafu ukute ndo amemkuta kibonde wake basi atakavo scream! Ukute ndo anasevu match point lazima masikio yaume! Kero kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimefurahi jana yule Kerber mjerumani katolewa 😂😂😂

Kabisa. Halafu ukute ndo amemkuta kibonde wake basi atakavo scream! Ukute ndo anasevu match point lazima masikio yaume! Kero kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimefurahi jana yule Kerber mjerumani katolewa [emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli? Sikua na taarifa! Safi sana yule nina beef nae vibaya sana safi sana ametolewa. Pia kuna yule Muguruza, ametolewa pia, alimtoaga Serena Wimbledon finals miaka ya nyuma basi akajua ameshakua Goat. Mbwembwe nyingiii, saa hizi anatolewa first round [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣 Acha nikachuke beer kwa Mangi sasa [emoji23]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Yani uliona eeh?! Hadi nilimhurumia na si kawaida yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilifurahi sana. Maria saa ingine inabidi kuweka “mute” majirani wasije wakakushangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi pia nilivyoona Serena kapangwa na Maria niliogopa. Ila Serena akicheza na Maria huwa anajitoa sana. Tokea Maria amfunge Serena kwenye ile fainali ya Wimbledon,Serena anachezaga vizuri sana akiwa akumbana na Maria. Kuna yule anaitwa Justine Henin yule alikuwa kiboko nae kwa Serena.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nilijua utakuwa na beef naye ndiyo sababu nikakwambia 😂😂😂😂😂 Final ya Australia Open nadhani mwaka juzi niliamka usiku wa manane ili kuangalia mechi ile kati ya Serena na yeye basi akashinda Kerber aisee siku mbili nilikosa amani kabisa. Sasa kule kwenye social media beberu haters walivyokuwa wanamtusi na kumkejeli Serena acha kabisa.

Kweli? Sikua na taarifa! Safi sana yule nina beef nae vibaya sana safi sana ametolewa. Pia kuna yule Muguruza, ametolewa pia, alimtoaga Serena Wimbledon finals miaka ya nyuma basi akajua ameshakua Goat. Mbwembwe nyingiii, saa hizi anatolewa first round [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣 Acha nikachuke beer kwa Mangi sasa [emoji23]
 
Mimi natamani Medvedev anitolee Djokovic. Maana lazima wakutane kabla ya fainali.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hiyo mechi niliacha kuangalia mwanzo tu, nikaona bora niende shamba nikalime kidogo, [emoji37][emoji37][emoji37] Yeah Halep is very good! Yani ameimprove sana anakimbiza kona hadi kona.Kana mbio balaa.
Hahahhaha,halafu haikuchukua hata saa. Ilikuwa dakika 50+.Serena aliishiwa kabisa mbinu. Nadhani alimuunderestmate Simona.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huyo Henin mbelgium na yule mswiss nao walimnyanyasa Serena hadi kibao kilipogeuka na kuwa in favour of Serena.

Mimi pia nilivyoona Serena kapangwa na Maria niliogopa. Ila Serena akicheza na Maria huwa anajitoa sana. Tokea Maria amfunge Serena kwenye ile fainali ya Wimbledon,Serena anachezaga vizuri sana akiwa akumbana na Maria. Kuna yule anaitwa Justine Henin yule alikuwa kiboko nae kwa Serena.
 
😂😂😂😂😂😂 huyo Nick jina lake la pili ni nani?

Mimi Team Nadal. Djokovic na Roger wakiendelea vizuri wanakutana nusu final.Nadal akiendelea vyema na Thiem.
Kuna huyu anaitwa Nick simpendi jamani,Wimbledon alinisumbulia sana Nadal.
 
Mimi pia nilivyoona Serena kapangwa na Maria niliogopa. Ila Serena akicheza na Maria huwa anajitoa sana. Tokea Maria amfunge Serena kwenye ile fainali ya Wimbledon,Serena anachezaga vizuri sana akiwa akumbana na Maria. Kuna yule anaitwa Justine Henin yule alikuwa kiboko nae kwa Serena.

Inasemekana Serena alisema “i will never lose to that (Maria) again”, hapo kwenye insert aliweka neno baya....na alimaanisha. Sema level anayocheza na Maria sio sawa na kwa wengine, mfano angecheza kwa level ya jana na Halep last time walipokutana Wimbledon hivi Halep angeanza wapi kushinda? Jana nimebaki nashangaa how perfect she played! Nikabaki najiuliza how did she not beat Halep?! Sema Serena anajua kututesa sometimes[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Mie nimefurahi Djokovic na Federer wako upande mmoja hivyo mmoja kutolewa kabla ya final. Naomba wote wasifike final. Ila kuna vijana wa Kimarekani watatu au wanne wanacheza vizuri sana miaka miwili au mitatu ijayo watasumbua sana.

Mimi Team Nadal. Djokovic na Roger wakiendelea vizuri wanakutana nusu final.Nadal akiendelea vyema na Thiem.
Kuna huyu anaitwa Nick simpendi jamani,Wimbledon alinisumbulia sana Nadal.
 
Inasemekana Serena alisema “i will never lose to that (Maria) again”, hapo kwenye insert aliweka neno baya....na alimaanisha. Sema level anayocheza na Maria sio sawa na kwa wengine, mfano angecheza kwa level ya jana na Halep last time walipokutana Wimbledon hivi Halep angeanza wapi kushinda? Jana nimebaki nashangaa how perfect she played! Nikabaki najiuliza how did she not beat Halep?! Sema Serena anajua kututesa sometimes[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Yaani huwa anapata motivation ya ajabu akiwa anashare court na Maria. Kama ulivyosema angetumia huo mzuka kwa wengine angekuwa grand slams zaidi ya alizonazo. Ile final ilimuuma sana.
 
Back
Top Bottom