VeronicaAmadu
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 310
- 380
- Thread starter
- #41
Nilijua utakuwa na beef naye ndiyo sababu nikakwambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Final ya Australia Open nadhani mwaka juzi niliamka usiku wa manane ili kuangalia mechi ile kati ya Serena na yeye basi akashinda Kerber aisee siku mbili nilikosa amani kabisa. Sasa kule kwenye social media beberu haters walivyokuwa wanamtusi na kumkejeli Serena acha kabisa.
Thats music to my ears🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Namuangalia Halep hapa, wamegawana set na Gibbs, third set now. Commentators wanasema last two times at US Halep alitolewa first round. Na hao mashabiki wa Maria ni ma haters sana. Halafu wanasahau huyo Maria bila drugs hana kitu. Tangu arudi toka ban ya drugs hajawahi kushinda any tournament. Hana stamina hata kidogo.