Tennis: US Open 2019

Tennis: US Open 2019

Nilijua utakuwa na beef naye ndiyo sababu nikakwambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Final ya Australia Open nadhani mwaka juzi niliamka usiku wa manane ili kuangalia mechi ile kati ya Serena na yeye basi akashinda Kerber aisee siku mbili nilikosa amani kabisa. Sasa kule kwenye social media beberu haters walivyokuwa wanamtusi na kumkejeli Serena acha kabisa.

Thats music to my ears🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Namuangalia Halep hapa, wamegawana set na Gibbs, third set now. Commentators wanasema last two times at US Halep alitolewa first round. Na hao mashabiki wa Maria ni ma haters sana. Halafu wanasahau huyo Maria bila drugs hana kitu. Tangu arudi toka ban ya drugs hajawahi kushinda any tournament. Hana stamina hata kidogo.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Niko mtaani ngoja nikawahi set ya tatu home. Tangu Sharapova abambwe na dawa za kuongeza nguvu amekuwa sharapovu. Halep akitolewa itakuwa bomba sana.

Nick kyrgios.Ni mu Australia anacheza vizuri sema ni mtukutu sana. Anaprovoke sana pia.

Nick is my guy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani tatizo ni mgomvi sana. Lazima agombane na refa au mashabiki. Hiyo inamuharibia sana, hadi kipaji chake kinakua hakionekani. Majuzi tu amepigwa fine ya dola laki moja. Yuko talented sana. Very entertaining mechi zake.
 
Yeah! Huyo ana matusi sana. Sijui kwanini hawampi adhabu kubwa.

Nadhahani utoto mwingi sana. Lakini anapigwa fine sana, juzi tu hapa dola laki moja. Akiacha utoto ana kipaji sana.
 
Niko mtaani ngoja nikawahi set ya tatu home. Tangu Sharapova abambwe na dawa za kuongeza nguvu amekuwa sharapovu. Halep akitolewa itakuwa bomba sana.

Halep ameshinda third set. Amepewa challenge nzuri sana lakini. Kuna huyu binti wa kimarekani Madison Keys, nimeona mechi zake last month ameshinda Cincy Open, ame improve kweli kweli. Style yake ya mchezo kama Serena, anapiga ace za kutosha. Sitamani wakutane na Serena safari hii sina imani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Thiem out! Hii sijapenda kabisa! Thiem nilimtegemea kufika mbali sana. Na Tsitsipasi nilimtabiria kufika mbali pia out. Mambo magumu sana.
 
Victoire umenikumbusha Henini, yule dada alimtesa Serena, kalikua kana jeuri flani hivi. Kalikua na back hand kama ya Roger. Nilikua sikafagilii, i liked Kim Klijsters miaka ile, she was humble, nilisikitika ali retire mapema sana Kim.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Nick is my guy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani tatizo ni mgomvi sana. Lazima agombane na refa au mashabiki. Hiyo inamuharibia sana, hadi kipaji chake kinakua hakionekani. Majuzi tu amepigwa fine ya dola laki moja. Yuko talented sana. Very entertaining mechi zake.
Hahahhahh atacheza baadae jioni hii saa moja.
 
Thiem out! Hii sijapenda kabisa! Thiem nilimtegemea kufika mbali sana. Na Tsitsipasi nilimtabiria kufika mbali pia out. Mambo magumu sana.
Iam sad katoka. Thiem na yeye naona ni mzuri sana kwenye uwanja wa vumbi.Hapa pagumu ana watemi wake. Kama namuona Rafa kwenye final.
 
Nick is my guy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani tatizo ni mgomvi sana. Lazima agombane na refa au mashabiki. Hiyo inamuharibia sana, hadi kipaji chake kinakua hakionekani. Majuzi tu amepigwa fine ya dola laki moja. Yuko talented sana. Very entertaining mechi zake.
This guy is sick.
This guy needs help
Kyrgios needs mental help.
 
Rafa ndani ya Final [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena akikutana na Federer itakua poa, kama ni Djokovick basi Rafa hapo hana ujanja.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Great comeback.
Caro Wozniacki, Next ni Collins mechi ngumu sana sana.
#TeamWozForever.

Carol is my girl, imenipita amecheza kumbe?! Sijui anaendeleaje naye majeraha yanamtesa sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hakuna mchezaji hapo
Bad attitude
Lack of discipline
Too much talking

Inaelekea ana enjoy kuwa bad boy. Haoni ni kiasi gani inamharibia hata kwenye endorsements. Sidhani kama atabadilika.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyu Tsitsipasi sijui nini kimempata. Nadhani kuanzia French Open alianza kuvurunda na kutolewa mwanzoni kabisa. Nilidhani ni bahati mbaya sasa naona inakuwa trend ya yeye kutolewa mapema katika mashindano makubwa. Hii ni mara ya nne sasa.

Thiem sijui naye imekuwaje ni mchezaji mzuri sana mwenye kustahili kuwemo kwenye semi finals au hata final. I hope this is not a new trend like that of Tsitsipasi.

Thiem out! Hii sijapenda kabisa! Thiem nilimtegemea kufika mbali sana. Na Tsitsipasi nilimtabiria kufika mbali pia out. Mambo magumu sana.
 
Kuna wakati ili kumdhibiti tabia yake mbaya alikuwa akisafiri na mama yake lakini naona mama kajichokea na hali ndiyo inazidi kuwa mbaya.

This guy is sick.
This guy needs help
Kyrgios needs mental help.
 
Krygios does not respect the game, his fellow players and umpires. This negative behaviour will cost him dearly.

Nick is my guy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani tatizo ni mgomvi sana. Lazima agombane na refa au mashabiki. Hiyo inamuharibia sana, hadi kipaji chake kinakua hakionekani. Majuzi tu amepigwa fine ya dola laki moja. Yuko talented sana. Very entertaining mechi zake.
 
😂😂😂😂😂😂

Back
Top Bottom