πππππ Mimi pia mkuu nikiwa naperuz channels nikakutana na mechi ya wanawake huwa siiachi kabisa inavutia sana jinsi walivyo fit very masculine na zile shorts wakivaa ndo balaa.Mimi binafsi naangalia sana mechi za wanawake kuliko za wanaume. Kuanzia 4th round ndiyo naongeza uangaliaji wa mechi za wanaume.
Hahahahahahaha Sasa wewe kunakitu unachokiangalia sio bure.πππππ Mimi pia mkuu
nikiwa naperuz channels
nikakutana na mechi ya wanawake huwa siiachi
kabisa inavutia sana jinsi walivyo fit very masculine na
zile shorts wakivaa ndo balaa.
Venus kafunga virago jamani [emoji26].Roger huyo anakata mbuga.Natamani atolewe mapema.
Kama nakuona unavyomuangaliaga Serena alivyojazia misuli.Mimi binafsi naangalia sana mechi za wanawake kuliko za wanaume. Kuanzia 4th round ndiyo naongeza uangaliaji wa mechi za wanaume.
Kusema ukweli Djokovic na Roger sitaki mmojawao akutane fainal na Nadal. Najua kwa ile draw Nadal ana nafasi kubwa sana ya kufika fainal.Ooh Venus![emoji26]. Jamani kwa nini unataka Roger afungashe mapema? Wakali wote wakitoka mapema itakua boring [emoji23]
Venus should retire hakuna namna vinginevyo watastaafishwa kwa vipigo vya aibu.Venus kafunga virago jamani π₯.Roger huyo anakata mbuga.Natamani atolewe mapema.
Mwaka huu kwenye Grand slams hajafika mbali. Naona bado anaona anaweza kucheza. Acha aendelee hadi mwenyewe atavyoona imetosha. Ana 39 sasaVenus should retire hakuna namna vinginevyo watastaafishwa kwa vipigo vya aibu.
Hahahahahahahah 5 time US Open Champion utamkuta Fainali.Venus kafunga virago jamani π₯.Roger huyo anakata mbuga.Natamani atolewe mapema.
Hafiki fainali kabla ya kukutana na Djokovic. Hapo patakuwa patamu.Hahahahahahahah 5 time US Open Champion utamkuta Fainali.
The end is near for the Queen akili inataka mwili hautaki tena,atakuja kuaibishwa na akina COCO GAUFF astaafu kwa fedheha.Mwaka huu kwenye Grand slams hajafika mbali. Naona bado anaona anaweza kucheza. Acha aendelee hadi mwenyewe atavyoona imetosha. Ana 39 sasa
Mwakani anagonga 40.
Venus mbona alitolewa na ka Coco kwenye Wimbledon. Labda Serena ndo bado ka Coco hakajamchapa. Ila Venus kalimchapa Wimbledon na kalimake headline acha kabisa.The end is near for the Queen akili inataka mwili hautaki tena,atakuja kuaibishwa na akina COCO GAUFF astaafu kwa fedheha.
Kama nakuona unavyomuangaliaga Serena alivyojazia misuli.
Kusema ukweli Djokovic na Roger sitaki mmojawao akutane fainal na Nadal. Najua kwa ile draw Nadal ana nafasi kubwa sana ya kufika fainal.
Roger na Djokovic kama wote wakiendelea mbele basi watakutana nusu fainali. Na mmoja wao atakutana fainal na Nadal.
Nampenda Nadal jamani. Nataka apate Slam ya pili mwaka huu.
Mambo magumu kwa Serena, nawahi kulala.
Usilale banaaa najua unasononeka sana.
Mi sio kama navutiwa na huo mchezo sana ila nnachopenda ni kuwaona hao kina dada.Inaridhisha yan wako fit kila kiungo kipo sehemu yake sio mwanamke ukimwangalia minyama imelegea ka nanii ya bata hata hainogiHahahahahahaha Sasa wewe kunakitu unachokiangalia sio bure.
Serena in trouble, sheβs already down 1 set 5-7. She needs to pull up her socks very fast otherwise a huge upset is in the making.