Tennis: US Open 2019

Tennis: US Open 2019

Mimi binafsi naangalia sana mechi za wanawake kuliko za wanaume. Kuanzia 4th round ndiyo naongeza uangaliaji wa mechi za wanaume.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mimi pia mkuu nikiwa naperuz channels nikakutana na mechi ya wanawake huwa siiachi kabisa inavutia sana jinsi walivyo fit very masculine na zile shorts wakivaa ndo balaa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mimi pia mkuu
nikiwa naperuz channels
nikakutana na mechi ya wanawake huwa siiachi
kabisa inavutia sana jinsi walivyo fit very masculine na
zile shorts wakivaa ndo balaa.
Hahahahahahaha Sasa wewe kunakitu unachokiangalia sio bure.
 
Ooh Venus![emoji26]. Jamani kwa nini unataka Roger afungashe mapema? Wakali wote wakitoka mapema itakua boring [emoji23]
Kusema ukweli Djokovic na Roger sitaki mmojawao akutane fainal na Nadal. Najua kwa ile draw Nadal ana nafasi kubwa sana ya kufika fainal.
Roger na Djokovic kama wote wakiendelea mbele basi watakutana nusu fainali. Na mmoja wao atakutana fainal na Nadal.
Nampenda Nadal jamani. Nataka apate Slam ya pili mwaka huu.
 
Venus should retire hakuna namna vinginevyo watastaafishwa kwa vipigo vya aibu.
Mwaka huu kwenye Grand slams hajafika mbali. Naona bado anaona anaweza kucheza. Acha aendelee hadi mwenyewe atavyoona imetosha. Ana 39 sasa
Mwakani anagonga 40.
 
Mwaka huu kwenye Grand slams hajafika mbali. Naona bado anaona anaweza kucheza. Acha aendelee hadi mwenyewe atavyoona imetosha. Ana 39 sasa
Mwakani anagonga 40.
The end is near for the Queen akili inataka mwili hautaki tena,atakuja kuaibishwa na akina COCO GAUFF astaafu kwa fedheha.
 
The end is near for the Queen akili inataka mwili hautaki tena,atakuja kuaibishwa na akina COCO GAUFF astaafu kwa fedheha.
Venus mbona alitolewa na ka Coco kwenye Wimbledon. Labda Serena ndo bado ka Coco hakajamchapa. Ila Venus kalimchapa Wimbledon na kalimake headline acha kabisa.
 
Kusema ukweli Djokovic na Roger sitaki mmojawao akutane fainal na Nadal. Najua kwa ile draw Nadal ana nafasi kubwa sana ya kufika fainal.
Roger na Djokovic kama wote wakiendelea mbele basi watakutana nusu fainali. Na mmoja wao atakutana fainal na Nadal.
Nampenda Nadal jamani. Nataka apate Slam ya pili mwaka huu.

Hapo sawa naunga mkono, Rafa for the championship. [emoji2][emoji2]
 
Serena in trouble, she’s already down 1 set 5-7. She needs to pull up her socks very fast otherwise a huge upset is in the making.
 
Hahahahahahaha Sasa wewe kunakitu unachokiangalia sio bure.
Mi sio kama navutiwa na huo mchezo sana ila nnachopenda ni kuwaona hao kina dada.Inaridhisha yan wako fit kila kiungo kipo sehemu yake sio mwanamke ukimwangalia minyama imelegea ka nanii ya bata hata hainogi
 
Serena in trouble, she’s already down 1 set 5-7. She needs to pull up her socks very fast otherwise a huge upset is in the making.

Yani Serena wa leo na wa juzi kama mbingu na nchi! Hopefully tunaenda third set na she can step up. Ameniudhi sana [emoji26]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom