Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mbele ninaendelamimi sio mkristo ila kuna hii
ebwana uniinuwe kwa imani nisimame nipande milima yote
ebwana unipandishe.[emoji119]
Mbele ninaendelamimi sio mkristo ila kuna hii
ebwana uniinuwe kwa imani nisimame nipande milima yote
ebwana unipandishe.[emoji119]
ninazidi kutembea
Inatia moyo sana,wale wapambanajininazidi kutembea
maombi uyasikie eeh bwana unipandishe
daah hii tenzi inanichukuaga sana kihisia
hakika ni kweli nakubaliana na wewe kabisaInatia moyo sana,wale wapambanaji
Wanaotamani wafike mahala fulani.
πhakika ni kweli nakubaliana na wewe kabisa
Ukaenda upande wa Pili mkuu!Japo nimeachana na ukristo toka 2007 ila tenzi za rohoni zinafariji sana.
Nyimbo hizo hasa namba 2,3 and 11 are fuel on Fire..
naipenda sana hii.ππππππ
Unasali wapi?Nikiimba naona uwepo wa YESU unanizunguka...
Napenda kuimba...
Soon nitaanza kupray and worship..
Ni ujumbe wa BwanaMwenyezi Mungu awabariki wote walioshiriki kutunga nyimbo hizi za TENZI ZA ROHONI.
Hizi ni baadhi tu ya nyimbo hizo zinazogusa moyo (Heart touching songs)
1.Mungu ni Pendo
2.Usinipite Mwokozi
3.Salama Rohoni
4.Yesu unipendaye
5.Mwamba wenye imara
6.Nataka nimjue Yesu
7.Bwana u sehemu yangu
8.Ni tabibu
9.Kumtegemea Mwokozi
10.Kaa nami
11.Bwana Mungu nashangaa kabisa.
Wakati mwingi unatembea au uko busy na shughuli zako unajikuta unaimba tu peke yako, unahisi amani ya ajabu ndani ya moyo wako.
Muwe na siku njema wana wa Mungu.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]