A
Anonymous
Guest
Nilikuwa mfanyakazi wa TEKU (TEOFILO KISANJI UNIVERSITY MBEYA) nilifanya kazi kuanzia 2020-2024, walikuwa wananilipa nusu mshahara na wakati mwingine hawakunilipa kabisa, hela ya NSSF hawakuwa kuipeleka.
Ninawadai jumla ya milioni 48 na pointI, hela ya malimbikizo ya mshahara ni Shilingi Milioni 29.5 na hela ya NSSF ni Shilingi Milioni 18.7.
Nimejaribu kuwasiliana nao mara kadhaa lakini hawajibu barua zangu, nimefungua kesi SMA lakini kesi ilifutwa kwa mujibu wa wakili aliyekuwa anasimamia kesi hiyo.
Kuna kipindi nilipata changamoto ya kumuuguza mama ambaye aliugua miaka 3 na aliusumbuliwa na kufeli kwa figo zote, hivyo, alihitajika kufanyiwa dialysis mara tatu kwa wiki Hospitali ya Bugando.
Niliwaomba hela hawakunipatia na nikawaambia hela inayohitajika ni kwa ajili ya matibabu lakini walijibu hawana hela kama kawaida yao, kila mara husema hawana hela. Kitendo hicho kilichangia kwa kiasi kikubwa maisha ya mama yangu kupotea yaani alifariki kwa sababu ya ukosefu wa hela za matumizi.