KERO TEOFILO KISANJI UNIVERSITY MBEYA nilipeni stahiki zangu, mama amefariki kwa mimi kukosa hela za kumuuguza

KERO TEOFILO KISANJI UNIVERSITY MBEYA nilipeni stahiki zangu, mama amefariki kwa mimi kukosa hela za kumuuguza

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hicho chuo kwa watu tuliosomea ukanda wa mbeya tulikuwa tukisikia mtu yupo TEKU tunamwona ni kilaza kuwahi kutokea nchini na sijui wahitimu wa hicho chuo wakimaliza huwa wanaajiriwa na nani🥹🥹Yani mkoa mzima wa mbeya chuo kinachodharaulika ni hicho na Kuna mwaka kiliwahi kufungiwa sijui imekuwaje tena kimefufuka.
 
Wengi ninaowajua waliosoma hapo walikuwa makazini. Walimu wengi hasa wa shule ya msingi ukanda huo ukisikia ana degree ni ya TEKU
 
sema kila kubwa ina kubwa yake kuna mtu ukimwambia umesoma chuo ukanda wa mbeya nae anakushangaa sasa unasomaje ukanda huo aseeh, huo ni ukanda wa kilimo sio vyuo.
 
Nilikuwa mfanyakazi wa TEKU (TEOFILO KISANJI UNIVERSITY MBEYA) nilifanya kazi kuanzia 2020-2024, walikuwa wananilipa nusu mshahara na wakati mwingine hawakunilipa kabisa, hela ya NSSF hawakuwa kuipeleka.

Ninawadai jumla ya milioni 48 na pointI, hela ya malimbikizo ya mshahara ni Shilingi Milioni 29.5 na hela ya NSSF ni Shilingi Milioni 18.7.

Nimejaribu kuwasiliana nao mara kadhaa lakini hawajibu barua zangu, nimefungua kesi SMA lakini kesi ilifutwa kwa mujibu wa wakili aliyekuwa anasimamia kesi hiyo.

Kuna kipindi nilipata changamoto ya kumuuguza mama ambaye aliugua miaka 3 na aliusumbuliwa na kufeli kwa figo zote, hivyo, alihitajika kufanyiwa dialysis mara tatu kwa wiki Hospitali ya Bugando.

Niliwaomba hela hawakunipatia na nikawaambia hela inayohitajika ni kwa ajili ya matibabu lakini walijibu hawana hela kama kawaida yao, kila mara husema hawana hela. Kitendo hicho kilichangia kwa kiasi kikubwa maisha ya mama yangu kupotea yaani alifariki kwa sababu ya ukosefu wa hela za matumizi.
R.I.P Mama 🌹
 
Pole kwa msiba wa bi mkubwa

Pili,mtu kufa haimaaanishi ni kukoswa matibabu bro!
Watu hufia India kwenye hospital kubwa chini ya uwangalizi madaktari magwiji.

Siku ikifika,hakuna extra time....hata sekunde.

Pigana kupata pesa zako.

Dunia siyo ya kuishi milele,
 
Pole kwa msiba wa bi mkubwa

Pili,mtu kufa haimaaanishi ni kukoswa matibabu bro!
Watu hufia India kwenye hospital kubwa chini ya uwangalizi madaktari magwiji.

Siku ikifika,hakuna extra time....hata sekunde.

Pigana kupata pesa zako.

Dunia siyo ya kuishi milele
 
Taasisi binafsi zinalipa kutokana na mtu anachozalisha.
Kuna cha kujifunza hapa:-
kas.jpg
 
Ila sio vizuri, watu wa kanisa walitakiwa kuwa mfano
Wajikute tu kuwa mfano😹
Hakuna sehemu kuna fitna kama huko Makanisani 🙌, kufanya kazi huko ni aidha uwe mnafiki uishi kwa kujipendekeza, usipokuwa hivyo utateseka sana.

Ila hizo hela wanazo.
Akizingatia ushauri tuliompa atazipata.
Hicho Chuo alichofanya kazi,,kama sikosei,Makao yake makuu kuna hizo ofisi za ufadhili na Ofisi za top leaders..akapeleke huko malalamiko.Hao uongozi wa Chuo wote wapo chini ya Makao makuu ya Kanisa,
Na si ajabu HQ hawajui anachokipitia. Suluhisho ni yeye kwenda huko.
 
Hicho chuo kwa watu tuliosomea ukanda wa mbeya tulikuwa tukisikia mtu yupo TEKU tunamwona ni kilaza kuwahi kutokea nchini na sijui wahitimu wa hicho chuo wakimaliza huwa wanaajiriwa na nani🥹🥹Yani mkoa mzima wa mbeya chuo kinachodharaulika ni hicho na Kuna mwaka kiliwahi kufungiwa sijui imekuwaje tena kimefufuka.
Wangekifungia maisha. Chuo cha hovyo sana.
 
Hicho chuo kwa watu tuliosomea ukanda wa mbeya tulikuwa tukisikia mtu yupo TEKU tunamwona ni kilaza kuwa kutokea nchini na sijui wahitimu wa hicho chuo wakimaliza huwa wanaajiriwa na nani🥹🥹Yani mkoa mzima wa mbeya chuo kinachodharaulika ni hicho na Kuna mwaka kiliwahi kufungiwa sijui imekuwaje tena kimefufuka.
Wengi ninaowajua waliosoma hapo walikuwa makazini. Walimu wengi hasa wa shule ya msingi ukanda huo ukisikia ana degree ni ya TEKU
Degree ya pale Haina maana kiuhalisia na binadamu yeyote hata hapo mtaani kwako ukimwambia Kuna chuo kinaitwa TEKU atakushangaa Hadi aingie google kwanza maana kile chuo kimekaa kama tuition center cha hovyo sana na vyeti vyao wanavipata kwa shida sijui Hadi vikaombewe kanisani aiseee🤮🤮hiki chuo kiuhalisia hakijulikani na hakifai kwa binadamu labda wale waumini wa kanisa la chuo
 
Wangekifungia maisha. Chuo cha hovyo sana.
Mimi niliamini kimefutwa kabisa baada ya kusimamishwa kumbe kiliendelea kujiendesha aiseeee, kile chuo cha hovyo sana ilifaa kigeuzwe kiwe ki college cha hotel Management nimpeleke hata BICHWA KOMWE - ajiendeleze mapishi aachane na kazi ngumu zile
 
Back
Top Bottom