Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hela wanazoTaasisi za kidini kufanya nazo kazi ni changamoto sana
Wengi ninaowajua waliosoma hapo walikuwa makazini. Walimu wengi hasa wa shule ya msingi ukanda huo ukisikia ana degree ni ya TEKUHicho chuo kwa watu tuliosomea ukanda wa mbeya tulikuwa tukisikia mtu yupo TEKU tunamwona ni kilaza kuwahi kutokea nchini na sijui wahitimu wa hicho chuo wakimaliza huwa wanaajiriwa na nani🥹🥹Yani mkoa mzima wa mbeya chuo kinachodharaulika ni hicho na Kuna mwaka kiliwahi kufungiwa sijui imekuwaje tena kimefufuka.
Ila sio vizuri, watu wa kanisa walitakiwa kuwa mfanoHela wanazo
Ila akidai hizo hela hapohapo Chuoni pekeyake hatazipata hadi kesho.
Akienda tu Makao yao makuu ya Kanisa, hasa akawachoma ofisi za Sponsors, akakomaa nao, Mbona mapema tu atazipata.
sema kila kubwa ina kubwa yake kuna mtu ukimwambia umesoma chuo ukanda wa mbeya nae anakushangaa sasa unasomaje ukanda huo aseeh, huo ni ukanda wa kilimo sio vyuo.Hicho chuo kwa watu tuliosomea ukanda wa mbeya tulikuwa tukisikia mtu yupo TEKU tunamwona ni kilaza kuwahi kutokea nchini na sijui wahitimu wa hicho chuo wakimaliza huwa wanaajiriwa na nani🥹🥹Yani mkoa mzima wa mbeya chuo kinachodharaulika ni hicho na Kuna mwaka kiliwahi kufungiwa sijui imekuwaje tena kimefufuka.
R.I.P Mama 🌹Nilikuwa mfanyakazi wa TEKU (TEOFILO KISANJI UNIVERSITY MBEYA) nilifanya kazi kuanzia 2020-2024, walikuwa wananilipa nusu mshahara na wakati mwingine hawakunilipa kabisa, hela ya NSSF hawakuwa kuipeleka.
Ninawadai jumla ya milioni 48 na pointI, hela ya malimbikizo ya mshahara ni Shilingi Milioni 29.5 na hela ya NSSF ni Shilingi Milioni 18.7.
Nimejaribu kuwasiliana nao mara kadhaa lakini hawajibu barua zangu, nimefungua kesi SMA lakini kesi ilifutwa kwa mujibu wa wakili aliyekuwa anasimamia kesi hiyo.
Kuna kipindi nilipata changamoto ya kumuuguza mama ambaye aliugua miaka 3 na aliusumbuliwa na kufeli kwa figo zote, hivyo, alihitajika kufanyiwa dialysis mara tatu kwa wiki Hospitali ya Bugando.
Niliwaomba hela hawakunipatia na nikawaambia hela inayohitajika ni kwa ajili ya matibabu lakini walijibu hawana hela kama kawaida yao, kila mara husema hawana hela. Kitendo hicho kilichangia kwa kiasi kikubwa maisha ya mama yangu kupotea yaani alifariki kwa sababu ya ukosefu wa hela za matumizi.
Nakisikia tu.Unakifahamu
Wajikute tu kuwa mfano😹Ila sio vizuri, watu wa kanisa walitakiwa kuwa mfano
Wangekifungia maisha. Chuo cha hovyo sana.Hicho chuo kwa watu tuliosomea ukanda wa mbeya tulikuwa tukisikia mtu yupo TEKU tunamwona ni kilaza kuwahi kutokea nchini na sijui wahitimu wa hicho chuo wakimaliza huwa wanaajiriwa na nani🥹🥹Yani mkoa mzima wa mbeya chuo kinachodharaulika ni hicho na Kuna mwaka kiliwahi kufungiwa sijui imekuwaje tena kimefufuka.
Sio kweli. Wanakulipa kulingana makubaliano yenu.Taasisi binafsi zinalipa kutokana na mtu anachozalisha.
Kuna cha kujifunza hapa:-
View attachment 3685492
Kiko Mbeya Mjomba. Siku nilipooneshwa majengo yake kwenye picha nilifikiri ni sekondari ya kata.HICHO CHUO KIPO WAPI?
Ni hivi vyuo tunaviita vya kataNakisikia tu.
Ni hivi vyuo tunaviita vya kata dakika 10 zitatosha kukizunguka chuo chote na kukimaliza
Degree ya pale Haina maana kiuhalisia na binadamu yeyote hata hapo mtaani kwako ukimwambia Kuna chuo kinaitwa TEKU atakushangaa Hadi aingie google kwanza maana kile chuo kimekaa kama tuition center cha hovyo sana na vyeti vyao wanavipata kwa shida sijui Hadi vikaombewe kanisani aiseee🤮🤮hiki chuo kiuhalisia hakijulikani na hakifai kwa binadamu labda wale waumini wa kanisa la chuoWengi ninaowajua waliosoma hapo walikuwa makazini. Walimu wengi hasa wa shule ya msingi ukanda huo ukisikia ana degree ni ya TEKU
Mimi niliamini kimefutwa kabisa baada ya kusimamishwa kumbe kiliendelea kujiendesha aiseeee, kile chuo cha hovyo sana ilifaa kigeuzwe kiwe ki college cha hotel Management nimpeleke hata BICHWA KOMWE - ajiendeleze mapishi aachane na kazi ngumu zileWangekifungia maisha. Chuo cha hovyo sana.