Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
Ninao ona wanachukua form nashindwa kuelewa au ni maigizo
Yaan ni kama bongo movie itaongoza nchi
Yaan ni kama bongo movie itaongoza nchi
Ninao ona wanachukua form nashindwa kuelewa au ni maigizo
Yaan ni kama bongo movie itaongoza nchi
Hao wanaowania ubunge ni reflection ya jamii ya Kitanzania mliyonayo kwa wakati huu. Ulitaka mpate wagombea kutoka Uganda ?Ninao ona wanachukua form nashindwa kuelewa au ni maigizo
Yaan ni kama bongo movie itaongoza nchi
nyieBunge lijalo
View attachment 3388791
Hivi,hao jamaa huwa wanajua kama Watanzania wanawachukulia kama ni watu wa hovyohovyo na wajinga sana?Hawa wanatakiwa wawe waigizaji na kuwaburudisha watoto na wake zetu tunapokuwa tunavua samaki.Bunge lijalo
View attachment 3388791
kutoka arabuni, ndugu zake DPWorldHao wanaowania ubunge ni reflection ya jamii ya Kitanzania mliyonayo kwa wakati huu. Ulitaka mpate wagombea kutoka Uganda ?