kama linchi limejichokea hakuna misingi ya maana hakuna utaratibu wala hakuna ushindani wa kweli si ndiomaana kila takataka inaweza kuwa na cheo chochote huko na wala msione kama kuna shida, kimsingi hakuna taifa lililoendelea kwa kuendekeza uchawa na uchama na ulafi kama tulivyohuko sasahivi, yaani imagine malaya anajiita mpinzanie leo jioni kesho anachukua fomu ya mbogamboga na anapokelewa kirhisi kabisa , viini macho si viini macho usanii si usanii, plus upinzani wa kufeki yaani kila aina ya uchafu unaonekana , wangefufuka waasisi wa hiyo nchi watakufa muda huohuo.