Terrence creative ananimalizia bando you tube, hatari sana

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Tangu nikiwa mdogo napenda sana comedy za Kenya nakumbuka nilikuwa naenda library huko Arusha kukodisha tape za Vitimbi kina masakuu wali zo dub KBC

Hapa katikati nikawa mshabiki mkubwa wa churchil show na Eric Omondi ila last week nimekuja kumjua jamaa anaitwa Terrence creative aisee hands up to that dude, he is extra ordinary, hongera kwake.

Niko hooked up kwenye you tube channel yake all this wekk
 
sawa..... ku appreciate mtu nako ni shida siku hizi? Niambie unaachaje kumkubali mtu kama huyu? nilikuwa nadhani Eric omondi ni kila kitu kwa kenya ila no , huyu jamaa ni hatari sana

Tanzania mna comedians? Ebu taja watatu.
 
Ulishaanza yale ma beef yenu ya kenya vs Tz mara mabasi mara majumba mimi siko huko niko hapa ku appreciate talent ya Terrence
La. Sio beef wala nini. Sijui comedians wa TZ. Kwani kuna ubaya gani wewe kunielimisha?
 
Siwajui hata mimi, nimekuambia huwa naangalia comedy za Kenya na yule wa Uganda teacher mpamire na the other guy anaitwa Salvador
 
La. Sio beef wala nini. Sijui comedians wa TZ. Kwani kuna ubaya gani wewe kunielimisha?
Huwa napenda comedians walioko real wakowako tu watu kama kina Joti wala siwezi waweka level hizo kwa kifupi sijaridhika na comedians wetu atleast the late mzee majuto thats why Eric omondi yuko kwenye demand sana huku watu wanapenda sana comedy ila hatuna stand up comedians wazuri kabisa
 
Ni kweli jamaa yupo very creative.

Yaani nimeangalia skits zake kama 10 so far , huyu anastahili kutulia na kutengeneza series kabisa ila abadilishe production team , editing yao siyo nzuri naona ile ya Omondi iko vizuri sana kwenye production
 
Huwa napenda comedians walioko real wakowako tu watu kama kina Joti wala siwezi waweka level hizo kwa kifupi sijaridhika na comedians wetu atleast the late mzee majuto thats why Eric omondi yuko kwenye demand sana huku watu wanapenda sana comedy ila hatuna stand up comedians wazuri kabisa
Kuna yule comedian mmoja kutoka TZ aliyekuwa anakuja Churchill show lakini nimesahau jina lake.
 
Back
Top Bottom