Terrence creative ananimalizia bando you tube, hatari sana

Yaani nimeangalia skits zake kama 10 so far , huyu anastahili kutulia na kutengeneza series kabisa ila abadilishe production team , editing yao siyo nzuri naona ile ya Omondi iko vizuri sana kwenye production
Omondi ana pesa nyingi sana kushinda huyu. So huyu pia atafika huko ni swala la muda tu.
 
Naam, nadhani ni huyo. Ila hakuwa mcheshi sana ila alikuwa anajaribu.
Hamna kitu pale ndugu yangu kuna new generation inajaribu kuibuka trust me kwenye comedy bado sana, ndiyo maaana Omondi huwa anakuja huku kuchukua hela tu wa Uganda kama Salvador anashindwa kuingia huku kirahisi sababu ya lugha,labda ajifunze swahili maan ndugu yangu bado wa tz wengi English ni tatizo
 
Kale kajamaa kajanja kajanja halafu kako well informed kakija TZ kanongelea issues zako kana interact na audience kirahisi sana
Ila nyinyi pia mnajitahidi. Kuna hii comedy show iliyokuwa hosted hapo Tanzania last month. Mulimualika Mamito.
 
Hamna kitu pale ndugu yangu kuna new generation inajaribu kuibuka trust me kwenye comedy bado sana, ndiyo maaana Omondi huwa anakuja huku kuchukua hela tu wa Uganda kama Salvador anashindwa kuingia huku kirahisi sababu ya lugha,labda ajifunze swahili maan ndugu yangu bado wa tz wengi English ni tatizo
Salvador ni mcheshi sana, huyo ndio my favourite comedian. Huwa ananichekesha sana. Yeye amefanya show hadi Nigeria.
 
Ila nyinyi pia mnajitahidi. Kuna hii comedy show iliyokuwa hosted hapo Tanzania last month. Mulimualika Mamito.

Hivi mamito ni mkenya?wenye hiyo show nafikiri ni Coy mzungu hiyo aliiinunua Diamond inaitwa cheka tu atleast hao watu ndiyo wanajaribu kidogo
 
"Ngapata wapi wewe right ya kuja huku ngatangaza Mambo yangu..au wewe umenufaika na kemikali ngapatia wewe 10 percent" yaani mzee wa ngakemikali anatingisha Kenya naona Facebook anacomments na like millions + ..kweli amekuwa creative na kuteka Kenya.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa simjui hadi last week kanifanya nimemuona Omondi ni level ya chini kumbe
 
Back
Top Bottom