Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Kenya tuna comedians zaidi ya 30. Ni wengi sana ila redykyulass ndio ilianza stand up comedy. Unawajua hao redykyulass? Nyambane, Tony na KJ? Miaka ya 1998 kuelekea early 2000s. Tazama hapa. Hawa ndio walioanzisha stand up comedy Kenya. Nenda katazame video zao za zamani youtube.Si unaona sasa?eh ila kwangu vioja mahakamani inabaki kuwa classic the best of all time toka kenya
Huyo Tony saa hii ni MP wa Dagoretti.