CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Tangu nikiwa mdogo napenda sana comedy za Kenya nakumbuka nilikuwa naenda library huko Arusha kukodisha tape za Vitimbi kina masakuu wali zo dub KBC
Hapa katikati nikawa mshabiki mkubwa wa churchil show na Eric Omondi ila last week nimekuja kumjua jamaa anaitwa Terrence creative aisee hands up to that dude, he is extra ordinary, hongera kwake.
Niko hooked up kwenye you tube channel yake all this wekk
sawa..... ku appreciate mtu nako ni shida siku hizi? Niambie unaachaje kumkubali mtu kama huyu? nilikuwa nadhani Eric omondi ni kila kitu kwa kenya ila no , huyu jamaa ni hatari sanaLipia tangazo
Terrence creativeTerence Crowford ??!🤣
Tanzania mna comedians? Ebu taja watatu.sawa..... ku appreciate mtu nako ni shida siku hizi? Niambie unaachaje kumkubali mtu kama huyu? nilikuwa nadhani Eric omondi ni kila kitu kwa kenya ila no , huyu jamaa ni hatari sana
Ulishaanza yale ma beef yenu ya kenya vs Tz mara mabasi mara majumba mimi siko huko niko hapa ku appreciate talent ya TerrenceTanzania mna comedians? Ebu taja watatu.
La. Sio beef wala nini. Sijui comedians wa TZ. Kwani kuna ubaya gani wewe kunielimisha?Ulishaanza yale ma beef yenu ya kenya vs Tz mara mabasi mara majumba mimi siko huko niko hapa ku appreciate talent ya Terrence
Siwajui hata mimi, nimekuambia huwa naangalia comedy za Kenya na yule wa Uganda teacher mpamire na the other guy anaitwa SalvadorLa. Sio beef wala nini. Sijui comedians wa TZ. Kwani kuna ubaya gani wewe kunielimisha?
Huwezi amini hiyo ndiyo the first time namuona jamaa at first i thought ilikuwa real, dahMzee wa Wash wash Kemikali.
Huwa napenda comedians walioko real wakowako tu watu kama kina Joti wala siwezi waweka level hizo kwa kifupi sijaridhika na comedians wetu atleast the late mzee majuto thats why Eric omondi yuko kwenye demand sana huku watu wanapenda sana comedy ila hatuna stand up comedians wazuri kabisaLa. Sio beef wala nini. Sijui comedians wa TZ. Kwani kuna ubaya gani wewe kunielimisha?
Kila mtu yuko huru kutoa maoni yake mimi mchaga na huyo mkenya ujomba unatoka wapi sasajamaa mbona hachekeshi, au ni mjomba wako unampromote
Ni kweli jamaa yupo very creative.Huwezi amini hiyo ndiyo the first time namuona jamaa at first i thought ilikuwa real, dah
Yaani nimeangalia skits zake kama 10 so far , huyu anastahili kutulia na kutengeneza series kabisa ila abadilishe production team , editing yao siyo nzuri naona ile ya Omondi iko vizuri sana kwenye productionNi kweli jamaa yupo very creative.
Kuna yule comedian mmoja kutoka TZ aliyekuwa anakuja Churchill show lakini nimesahau jina lake.Huwa napenda comedians walioko real wakowako tu watu kama kina Joti wala siwezi waweka level hizo kwa kifupi sijaridhika na comedians wetu atleast the late mzee majuto thats why Eric omondi yuko kwenye demand sana huku watu wanapenda sana comedy ila hatuna stand up comedians wazuri kabisa