Terrence creative ananimalizia bando you tube, hatari sana

Si unaona sasa?eh ila kwangu vioja mahakamani inabaki kuwa classic the best of all time toka kenya
Kenya tuna comedians zaidi ya 30. Ni wengi sana ila redykyulass ndio ilianza stand up comedy. Unawajua hao redykyulass? Nyambane, Tony na KJ? Miaka ya 1998 kuelekea early 2000s. Tazama hapa. Hawa ndio walioanzisha stand up comedy Kenya. Nenda katazame video zao za zamani youtube.



Huyo Tony saa hii ni MP wa Dagoretti.
 
hahahaha nimewakumbuka hao jamaa bana walikuwa wanaimba hadi nyimbo za bongo fleva kwa funny lyrics

Bongo wengi wanaoonekana comedians ni impersonators kuiga sauti za viongozi haswa Nyerere basi wamemaliza bado kwenye hiyo sekta tuko nyuma
 
hahahaha nimewakumbuka hao jamaa bana walikuwa wanaimba hadi nyimbo za bongo fleva kwa funny lyrics

Bongo wengi wanaoonekana comedians ni impersonators kuiga sauti za viongozi haswa Nyerere basi wamemaliza bado kwenye hiyo sekta tuko nyuma
Hao redykyulass ndio walioanza mambo ya kuiga sauti za wanasiasa na stand up comedy. Kisha baadaye wakamualika Churchill kujiunga nao. Churchill huwa anakubali kuwa hawa wazee ndio waliomfundisha mchezo huu.
 
Comedy is a big industry in Kenya, especially online. Mimi nimetambua
Njugush, Flaqo, Crazy Kennar, Wololo TV, Abel Mutua, Cartoon Comedian na Sammy Kioko & Tom Daktari.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Umesifia sanaa...ila iyo video akuna kitu ni bora uyo omondi
 
Kwa ujumla wao wako vizuri sana.

Kazi inapigwa siyo kidogo.

Kundi lao halifanyi kazi ya kubahatisha.

Kazi yao wanaijua sawia, Kazi yao inaonekana haina ngojera wala mboyoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…