Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Yani unakuta majirani wanajua rangi zote za chupi jlizoanika bafuni ilhali hawajawahi kuingia nawe pia umesahau..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kizuri umbeya wetu huwa wenye nia njema kwa taifa, tofauti na umbeya wa wenzetu mfano Wacongo wao hujiropokea hata kwa maadui wa nchi yao.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
style ya kibiti inafanana na ya al shabaab?watu wanapigania maporini huko unafananisha na watu wanaovamia malla na hotels, ufaransa ,germany wanapigwa hizi kila mara ,usiandike tena ujinga wako, basi ombea jiwe apeleke jeshi somalia tupate mechi za kirafiki na al shabaab.
 
Magaidi si wapuuzi, umewahi kusikia kitu kinaitwa 'inside job'? siku zote mashambulizi haya yamekuwa na details za kutosha kuonesha ni kazi iliyo fanywa eidha na serikali yenyewe, au serikali imeufaham mchongo mzima lakini imefanywa kuwa 'paralyzed' isifanye chochote, na hicho ndicho kilicho onekana kule waste gate, na picha hiyo hiyo kama inajirudia. Hii ni sawa na kuamini kuwa maharamia wa somalia wakiwa na mitumbwi yao walikuwa wanaweza kuteka majimeli makubwa!!!!! Kumbuka Kenya ni nchi, inalo jeshi, vifaru, wizara ya usalama na ulinzi, n.k hainiingii akilini eti wanamgambo ... wasio na serikali, wala jeshi, wala wizara ya ulinzi wala bajeti ya ulinzi wafanye hilo wanalo lifanya kisha kutoweka!!! wasishikwe kisha waje wajitangaze ni wao wamefanya wasishikwe!!! kweli hili ???? 'Divide and Rule'
 
hao wa style ya kibiti na amboni hata kenya walikuwepo huko mombasa wanajiita MRC ,walifeyekelewa mbali woooteee,hii stule ya al shabaab ni kama URBAN GUERILLAS ,ni level nyingine kama bomu lililochapa embassy dsm mbona halikuzuilika?hawa wanakuacha hata miaka 2 unajisahau kabisa wanavamia show kama fiesta wanachapa mabomu sijui unawazuiaje?usieseme eti tuna uwezo mkubwa kihivyo wa kiteknolojia kama tungekuwa nao tusingehangaika na watu wanaopiga picha ikulu,bot au ferry wakati google earth inakupa picha za hizo sehemu hadi kwa juu
 
Haha kingine kinachoisaidia tanzania ni mfumo wa mabalozi wa nyumba kumi

mimi nakumbuka kipindi nimehamia mkoa flani huku kasikazini, nilikaa wiki moja, ile ya pili nikafatwa na balozi, ananiambia nisijekua nimekimbia kibiti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Aisee balaa...!! Wakataka kukuchomaa... Ungelambwaa risasi mkuu noma snaaa vile serikali ilikuwa na hasira kuhusu kibiti duu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani Kibiti wale walikuwa majambazi au siyo?
 
Unadhani Kibiti wale walikuwa majambazi au siyo?
mrc huko mombasa walishindwa pia wailkuwa kama hao wa amboni na kibiti. hii style kama ya urban guerillas ni mbaya,wana attack miji mikubwa sehemu busy wanakimbia,hawana base maalumu sio formal war,unadhani ufaransa haswa jiji la paris wanavyoshambuliwa kwa style hii mara kwa mara tumewashinda uwezo wa kivita siyo?
 
Kosa lao ni kuisaidia marekani kuwa base ya marekani kupambana na Somalia ,ndo wakajiingiza ,alshababu kama nia ni kuua ua tu basi wangeenda burundi ,magaidi sio vichaa na wangekuwa wajinga jinga marekani isingehangaika nao hivyo
Hicho ambacho unaona ni kosa ndicho ambacho hasa kilitakiwa kufanyika ... tengeneza tatizo ... watu watawehuka, watapayuka (reaction) ... halafu njoo na solutions. Ili Marekani na wenzake waweke kambi hapo lazima pawe na sababu. Marekani na wenzake ndiyo wanao hitaji kuzikalia nchi zetu na nchi zingine zenye rasilimali za kuweza kuwanufaisha wao ... hivyo wanatengeneza mazingira ya wao kuitwa .. ndiyo maana viongozi wengi wakubwa wa haya makundi ya kigaidi utakuta wapo kwenye payroll za mataifa haya ya magharibi na hata siku moja haita kaa wakamatwe sababu wao na hayo matiafa ya magharibi lao ni moja sisi ndiyo wanasesere wanatuchezesha watakavyo.
Sasa hivi vita ni Mchina na Marekani, wote wanagombea rasilimali zetu, kila mahali mchina anapotia mguu Mmarekani yuki nyuma wa wanamgambo wake, kama akina alshaabab na wengine ili kuvuruga ... lakini tunaye taabika ni sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…