Ila hawa jamaa hii mara ya pili, wanatoa warMkoloni mweupe (mzungu) huwa anafaham na anatoa taarifa inapokuja kwetu (mwafrika) anamdhalau akijua ni propaganda zao.
US waliwapa tahadhari majuzi inawezekana wao ndio wamefanya hilo shambulio kwa kichaka cha alshabab ili wafanikishe lengo flani...wazungu sio watu wazuri wajameni
Hahahahaha
Anaekwambia Hakuna Amani ni akina Yericko Nyerere Tena Muda huo katoka kushiba ugali Na Matembele Yupo Tumbo wazi anachokonoa Meno kuondoa mabaki ya maharage Kwenye Meno kashika ki techno chake anabwabwaja tu
Utakufa na usicho kijua.Viongozi wanaotubomolea nyumba zetu walindweje na Mungu?
Kama kweli Mungu ndiye Mungu wa kisasi tunamuomba awashushie kiberiti mfano wa kile cha Sodoma na gomora.
Mungu aisikie dua hii AAAMEN!
France, US, na other European countries hazijapakana na nchi zenye terrorists kama ilivyo Kenya na Israil, Alshabab hutokea Somalia na kuingia Kenya, kama ilivyo wapalestina hutokea Palestina na kuvuka mipaka kuingia Israel, kwahiyo ukuta ni suluhisho kwa Israel na Kenya sio kwa hizo nchi zingine.Some of the so called safest places on earth like Paris in France, US states etc are still grappling with the same, can a lower middle class be an exceptional?. You chose Israel and forgot to mention what I've given you as an example.
Wanaume au mashetani ambao wanafaa kudungwa sindano ya sumu itakayowapa maumivu makali sana unbearable pain kwa lisaa limoja halafu iwauweWanaume bado wamo ndani ya hotel
Kenya ikiwa na amani na Tanzania amani yetu itaendelea kudumu,ondoeni majeshi yenu somalia,hamba mnachokipata kule zaidi ya hao nyonya damu kuwafanya punching bag yao kila wanapojisikiaDuh!!
Hakuna lolote.Naona habari sasa hivi. Ni nini kinaendelea?
Usijidanganye, huo ni mtaji mkubwa kwa baadhi ya hao nyang'au. Hapo ndio wanapojipatia pesa za bure toka marekani....hamba mnachokipata kule...
First understand how terrorism and radicalisation works before you start yappingFrance, US, na other European countries hazijapakana na nchi zenye terrorists kama ilivyo Kenya na Israil, Alshabab hutokea Somalia na kuingia Kenya, kama ilivyo wapalestina hutokea Palestina na kuvuka mipaka kuingia Israel, kwahiyo ukuta ni suluhisho kwa Israel na Kenya sio kwa hizo nchi zingine.
Hizo nchi zingine terrorists kutumia Airports kuingia ndio sababu wanadhibiti sana kutoa visa na wageni kuingia katika nchi zao. Kitu cha kushanga, Israel wamefanikiwa kuwadhibiti wapalestina kwa kujenga Ukuta, lakini Kenya kila siku ni kutoa visingizio visivyokwisha, hata ukuta wenye hamjamaliza, sasa si mngeujenga ukamalizika muone kama watavuka waendelee kushambulia, tatizo mnajifanya wajuaji sana wakati hamna kitu mnachoweza kufanya kwa mafanikio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watumwa including you ndio hulazimika kumuombea mema bwana wao.Utakufa na usicho kijua.
Acha kuleta mihemko ya chama ktk suala la nchi. Wewe ukiona nchi inakushinda hama,
Mtuachie nchi yetu cz bado tupo tunao ipenda na kuiwazia mema.
Mm sijawahi ona watu wasio kuwa na akili kama hivi kutukana mahali ambapo ndipo ulipo zaliwa na kizaz chako kinaishi hapa.
Kama unaona mengine magumu rudi kwa Mungu omba kwa hekima na ufahamu, ukienda kwa mihemko hata zuri la nchi yako huto liona utabaki kunyooshea viongozi vidole tu, mwisho upate magonjwa ya moyo.
Mungu akusaidie, uipende nchi yako na kinywa chako kijifunze kubarik na sio kulaani sababu laana inaweza kukurudia pasipo kuelewa.
Kuna watu wanakesha kuombea nchi ww unaleta mihemko. Unafikiri kuna nchi perfect na viongoz perfect
Rudi nyuma kwa wazazi, au ktk ndoa wapo perfect?
Tulia tu usije kufa kwa magonjwa ukawa sadaka.
Siasa ni mchezo mchafu
NAMI NIMESEMA WATASAIDIWA KUWAKABILI.Ushasahau huko ndo Kuna Military base ya US iweje wasiwasaidie???
Sent using Jamii Forums mobile app