Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Msije mkawa mmekamatana wenyewe kwa wenyewe humo ndani maana kunavikosi mchanganyiko kama kachumbali ya kihindi
Tukio lile la westgate inasemekana askari wa
Kwanza walipopelekwa kuingia kwenye mall mule badala ya kukabiliana na magaidi walikuwa wana kwiba vitu mule kama simu etc....ilikuwa uzembe na vituko
Mpaka walikuja kikosi maalum tena kuweka mmbo Sawa mule

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hotel NI kubwa, Lakini inaonekana haikuwa na ulinzi wowote,

Kwenye cctv camera wanaonekana alshabab wanne wakiwa wamejihami kwa siraha Tena bila kificho wakiingia bill kupata upinzani wowote ule!!!

Na Kama ilikuwa na walinzi basi NI wale wenye virungu vya kuwindia swala porini.

Wito wangu kwa vyombo vya ulinzi Nchini Kenya na kwa Vyombo vya kutunga sheria virekebishe sheria ya ulinzi na usalama.

I we NI mwiko kwa Hotel za kitalii na hotel kubwa kubwa zenye mchanganyiko wa mataifa mbali mbali KULINDWA NA WALINZI WA KAWAIDA WENYE KIRUNGU CHA KUWINDIA SWALA AU KULINDWA NA VIBABU. WAVIACHE VIBABU VIKALEE WATUKUU.

LAZIMA WATUNGE SHERIA ITAKAYOSEMA ,

HOTEL KUBWA ZENYE WATEJA WA MATAIFA MBALI MBALI LAZIMA ZILINDWE NA VIKOSI .MAALUM VYA KUPAMBANA NA UGAIDI WALIOJIDHATITI MUDA WOTE KWA VITA.

PILI,KILA HOTEL ZIFUNGWE VIFAA MAALUM VYA KUGUNDUA VILIPUKIZI VILIVYOTEGWA KWENYE MAGARI AU VIILIVYOBEBWA NA BINADAMU UMBALI WA MITA MIA MOJA KUTOKA ILIPO HOTEL.

GHARAMA ZOTE HIZO ZILIPWE NA WENYE HOTEL.

Na Hili liende sambamba na kwenye vituo vya ulinzi na balozi mbali mbali.

Wakishindwa basi wasalimu amri wayatoe majeshi yao kule Somalia ili kuwaepuka hao alshabab.Maana wao wanadai Kenya iondoe majeshi take huko Somalia ndipo wataacha mashambulizi dhidi ya Kenya.

Vinginevyo Waimarishe ulinzi na usalama was Nchi yao.
Wananchi pia washirikiane na Serikali yao kuwafichua waovu. Wawe na udadisi kuwahoji watu wanaowatilia mashaka.

Mipakani pia Waimarishe ulinzi na ukaguzi. Mf Hao magaidi wameingiaje na silaha Hadi ndani ya Kenya bila Kukamatwa?

Wamewezaje kupita katikati ya Nairobi na silaha kubwa Kama zile bila kung'amuliwa?
Wamepita ofisi ngapi bila hata alamu kulia au kuditecti kuwa Kuna silaha inapitishwa?

Pia waache Kuweka ulinzi was mwezi mmoja baada ya kutoke tukio baadaye wanauondoa ulinzi wao Maisha yanakuwa Kama ya mwanzo wakisubiria tukio lingine litokee.

Mf. Tanzania Mlimani city ulikuwa huingii bila kukaguliwa, Kwenye pantoni pia ulikuwa lazima ukaguliwe kwa vifaa MAALUM, Lakini Sasa HIVI ¿?? Sijui Kama ipo iyo Hali ya ukaguzi Kama wanaendelea au wanasubiri tukio ndo waanze Tena.
 
"Wao wapigane sie tipate hela" mtukufu kiongozi mkuu wa malaika
 
Magaidi wanabuni mbinu mpga kila uchwao.. Leo wamevamia hotel kesho masoko keshokutwa vyuo.. Kila sehem utailinda na vikosi maalumu au hapo sijaelewa. Cha msinhi hapo ni kuimarisha inteligencia tu ili matatizo yakabilowe kabla hayajatokea.
 



Yaani sijapata kuona watu wajinga kama Somalians, hawataki kusoma shule ili wastaharabike na kuelewa ya dunia. Wao wanajiaminisha vitu visivyo na maana na ukiwaelimisha wanataka kukuua kwa sababu hawataki ukweli. Corrections: Mohammed si mtume wa kweli, kajipachika tu utume. Yeyote anayetaka kubishana juu ya hili anyooshe kidole nimuelimishe.
 
Utekelezaji wa shambulio la kigaidi ni mchakato sana huenda mikakati ilishaandaliwa tangu muda mrefu pengine magaid walisha recruit hata baadhi ya raia wz kenya na kuwatumia kama sehemu ya kufanikisha mpango wao ::

Sent using Jamii Forums mobile app
 


What is she talking about?!

What kind of support Al Shabab's enjoying from Tanzania?!
 

Poleni sana, majirani, Mungu awavushe katika hali hii ngumu
 
na nyie wakristo mna tabu sana kwa kutengeneza hayo masilaha maana hayakutengenezwa kwa ajili ya kuwindia kuku


Imani inaruhusu kupigana kwa mawe siyo bunduki, bunguki hazipo kwenye vitabu vitakatifu.
 
What is she talking about?!

What kind of support Al Shabab's enjoying from Tanzania?!

This is serious allegations and the government of Tanzania officials have to come forward and explain to the world where Tanzania stand on the war against terrorism.

Thanks to the news correspondant from Dar es Salaam that he navigated well off the Johannesburg's SABC unfounded allegations which might hurt Tanzania's tourism industry.
 
Kuwa na ADAMU NA IMANI ZA WATU WENGINE...nani nakwambiya yeyote anayeuwa wengine,,tena kwa MASLAHI YAKE BINAFSI. ,, ANAKWENDA PEPONI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa na ADABU..

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Exactly, and..did she ask twice?!, even after he articulated Tanzanian's stand on this Terrorism.
She was literally trying to Insinuate something..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…