Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Tanzania

Tanzania giving support to Al shaabab WTF is this , Mbona wanatuchafua jina . Hii itakuwa propaganda ya nchi fulani fulani.

Meanwhile social media imelipuka huko Kenya baada ya mtu anayesadikiwa kuwa ni gaidi kujichanganya na raia wa kawaida na kufanikiwa kutoroka.
 
hivi kwani wewe umeshaolewa? au bado unachumbiwa?
Hata wakati wa sodoma na gomora watu walijikinai kwa kula na kunywa, kuoa na kuolewa!
Una kila dalili za kufanana na watu wale!
Sasa unasodomwa! Unakiepukaje kiberiti cha ghadhabu ya Mungu?
 
Tulifundishwa na Mwalimu JKN...
 
Hii sentensi 'Al shabab is enjoying some support in Tanzania' Si Kweli! Nonsense
 
Teeeh[emoji3]basi sawa tutazidi kua wambeyaaa
 
Kuwa na ADABU..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na ADAMU NA IMANI ZA WATU WENGINE...nani nakwambiya yeyote anayeuwa wengine,,tena kwa MASLAHI YAKE BINAFSI. ,, ANAKWENDA PEPONI?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani bro nimetaja imani ya mtu mimi?au wewe unaamin hiyo imani ina-exist?

Mimi nazungumzia imani moja ya kihuni huni hivi wanaamini kuuwa ndo kuiona pepo,wapumbavu sana hao jamaa siyo watu wazuri usithubutu wakukute wanaondoka na shingo yako.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Hilo jamaa lijinga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
poleni majirani zetu wapendwa, niseme tu KUNA UMUHIMU wa KUJONGELEANA kwenye meza ya mazungumzo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23],N kweli mkuu wabongo kwa umbeya we are better than,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23],N kweli mkuu wabongo kwa umbeya we are better than,

Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali Watanzania tuwe wambeya kutoa taarifa kwenye vyombo vya Usalama ili nchi yetu na RAIA wake wawe salama zaidi,badala ya kutunza siri za uhalifu wakati zina madhara makubwa sana kama haya yaliyotokea Kenya jana.

Unayelaumu umbeya wa Watanzania kutoa taarifa karika vyombo Usalama kuwa ni wambeya hebu kaa chini na ufikiri zaidi halafu urudi tena jamvini.

Madhara ya ugaidi huwa hayachagui MTU,yeyote anaweza kudhurika,hata wewe mwenyewe unayeshabikia hili, ni kwa sababu hujui ulisemacho na hayajakukuta wewe,rafiki yako,ndugu yako,jamaa zako wa karibu n.k.

Tafakari kwa undani zaidi kuhusu comment yako hii kama ina Afya kwa nchi/Watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndipo hapa ninapopenda askari wa hii nchi wanaonekana makamanda kwelikweli kwa mapichapicha field sasa wanarundikana sehemu moja kama kumbikumbi wametoka mabawa,huwa najiuliza hivi yangewakuta kama hapa bongo kule kibiti nadhani nchi nzima ingejaa makaburi,kwetu askari wanajisucrifice ili wengine wengi waishi Ila ndo hivyo kila ubaya wao mpaka njaa yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…