Utakufa na usicho kijua.
Acha kuleta mihemko ya chama ktk suala la nchi. Wewe ukiona nchi inakushinda hama,
Mtuachie nchi yetu cz bado tupo tunao ipenda na kuiwazia mema.
Mm sijawahi ona watu wasio kuwa na akili kama hivi kutukana mahali ambapo ndipo ulipo zaliwa na kizaz chako kinaishi hapa.
Kama unaona mengine magumu rudi kwa Mungu omba kwa hekima na ufahamu, ukienda kwa mihemko hata zuri la nchi yako huto liona utabaki kunyooshea viongozi vidole tu, mwisho upate magonjwa ya moyo.
Mungu akusaidie, uipende nchi yako na kinywa chako kijifunze kubarik na sio kulaani sababu laana inaweza kukurudia pasipo kuelewa.
Kuna watu wanakesha kuombea nchi ww unaleta mihemko. Unafikiri kuna nchi perfect na viongoz perfect
Rudi nyuma kwa wazazi, au ktk ndoa wapo perfect?
Tulia tu usije kufa kwa magonjwa ukawa sadaka.
Siasa ni mchezo mchafu