Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Hukutaja dini Fulani,, lakini watu wenye AKILI za ndni tumeshajuwa unalenga DINI gn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maoni yangu hii miili ya hawa nguruwe inafaa iteketezwe kama nyoka anavofanywa baada ya kuuliwa. Kisha jivu litupwe kwenye sewage panya wafaidi.
 
Kwa maoni yangu hii miili ya hawa nguruwe inafaa iteketezwe kama nyoka anavofanywa baada ya kuuliwa. Kisha jivu litupwe kwenye sewage panya wafaidi.

Their bodies should be left to rot in the sun and fed to wild dogs, their graves should never be seen
 
akiua MKRISTO MGONJWA WA AKILI
akiua Muslim GAIDI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Their bodies should be left to rot in the sun and fed to wild dogs, their graves should never be seen
Wasikubali miili yao izikwe kiislamu, waislamu wanasema hawa sio wenzao. Vitengo vya usalama vikimaliza uchunguzi vihakikishe kwamba hawa nguruwe hawatapewa heshima ya kuzikwa kwenye kaburi au kukumbukwa na yeyote yule.
 
Hukutaja dini Fulani,, lakini watu wenye AKILI za ndni tumeshajuwa unalenga DINI gn

Sent using Jamii Forums mobile app
Bablai unajishtukia mzee!!!

Ukiwa hivi kila mtu utagombana naye maana kama unachoamini wewe unaamini kabisa hakina mambo hayo then kwanini uanze kusema wenye akili za ndani wanajua nalenga dini,basi unanilazimisha niamini kwamba wewe ni mmoja ktk dini ninayoijua inafanya mambo hayo.

Nikuulize wewe dini yako inaruhusu kumuuwa mtu ili uende peponi?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Ni rasmi magaidi wote waliokuja kujitoa mhanga wameuawa na kuwahishwa mbele ya haki, idadi ya watu wote waliofariki imefikia 14

--------------------------------------------
In a televised address, President Uhuru Kenyatta has confirmed that all terrorists in 14 Riverside and Dusit D2 Hotel attack had been neutralized.

He added that 14 people had been killed in the terror attack.

Specialized Security Forces leading the operation at Dusit D2 Hotel, at 14 Riverside, Nairobi managed to gun down the attackers.

Gory photos shared on social media showed at least two of the attackers captured on CCTV camera dead.

Their lifeless, bullet-riddled bodies were seen lying next to several spent cartridges.

There were also bullet holes on the walls of the room where the terrorists were gunned down.

  • The graphic photos seen by Kenyans.co.ke show the gunned persons wearing clothes and bullet jackets resembling those captured on the CCTV footage.He also indicated that the operation was over and that all the terrorists had been killed.
Police Kill All Terrorists in Riverside Attack - Uhuru Confirms
 
NI PIGO KWA SEKTA YA UTALII KENYA. Wanachokifanya ni kuchafua sifa ya Kenya kimataifa kwani uchumi wa Kenya unategemea sana utalii
 
poleni wahanga wa tukio la ugaidi. nachelea kujiuliza hii hali ni mpaka LINI?
ifike mahali serikali ya Kenya ifikirie uwezekano wa kujongeleana kwenye meza ya mazungumzo ili kufikia muafaka.
 

Acha ujinga kuhusisha dini za watu na Uhalifu, unajifanya kipofu wakati hapo Congo asilimia 90 ni wakatoriki nawaislamu Ni asilimia 1 tu lakini wanauana na Rwanda asilimia 95 ni wakristo lakini mbona walichinjana na bado wanachukia mpaka leo wanaishi kinafiki.
 
wewe ni mtu mzima.ongea kiutu uzima.
unamficha nani au unamdanganya nani?
kwani ukisema unamlenga m uislam na uislam kwani utapigwa?
@mjingawewe wapi niliposema muislam kauwa?

We jamaa vipi?uislam si dini ya haki amma,au hujiamini na dini yako?unajisahaulisha...uongo?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NI NGUMU SANA KUPAMBANA NA MTU AMBAE HUMJUI VEMA MAKAZI YAKE,MUONEKANO NA HATA MBINU ZAKE
Ni muda sasa kenya wataomba suluhu na al shabab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…