Acha uwoga they have no issues with us. These are circumstantial usipagawe kijana!Mwenyezi Mungu unaye ishi naomba uwaadhibu hawa magaidi wa Alshababu maana wanawatesa sana ndugu zetu hadi sisi majirani hatuna amani kabisa
Hizo ndio maana umesema ni hadithi tu.....hapa tunaongelea uhalisia watu wametekwa wakatengwa kwa dini zao Christian wakachinjwa, muslims wakaambiwa wapo huru, au umesahauUislam ni dini ya amani na inamkataza mtu kumwaga damu za watu, hizi ni propaganda za kisiasa chini ya kivuli cha dini,na hao wanaouwa watu hivyo hadithi inasema ni "mbwa wa motoni" means watachomwa moto siku ya kiama kwa kuua kwao watu na mengine wanayofanya
The terrorist before and after his deathView attachment 995979View attachment 995980
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuingilia taaluma za watu, hao jamaa pia wamejihami kwa silaha nzito na ukumbuke humo kulikuwa na watu wengi wanaohitaji kuokolewa, ukienda kindezi ndezi kama ww unaenda na maji.Wakenya kwa security bado sana. Jamaa wanne wanawachezea almost 10 hours. aseeeee
Two of them are already killed!Mpambano wa Westgate siege wale magaidi hawakupatikana while walikua surrounded na KDF.....sitoshangaa na hawa sasa hivi tukashangaa tukio linaisha hawajaonekana na wakati inajulikana wapo inside the hotel.....
Kenya mnatakiwa kuboresha ulinzi wenu sana ukizingatia mmepakana na watu wa matukio huko juu. Maana ninyi mkizidiwa huko basi washafika bongo, kwa hawa maafisa usalama wanaotumia meno badala ya ujuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema watafika mbele ya Allah , Pumbavu kabisa alieleta huu upuuzi wa Dini ..Huyu ndezi kavaa raba kali kinoma, dah.
Katika vitu ambavyo hunishinda kutafakari ni pale mtu anapojiandaa hivi kwenda kufa! Tena kwenda kuua wasio na hatia nawe kufa kwa propaganda za kipuuzi!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Your brain is purely sophisticated. You are understanding hings critically. Wengi wanamisi hili. Huwa nacheka namna watu wanamisi hili. Hahaha! Umetisha.Magaidi si wapuuzi, umewahi kusikia kitu kinaitwa 'inside job'? siku zote mashambulizi haya yamekuwa na details za kutosha kuonesha ni kazi iliyo fanywa eidha na serikali yenyewe, au serikali imeufaham mchongo mzima lakini imefanywa kuwa 'paralyzed' isifanye chochote, na hicho ndicho kilicho onekana kule waste gate, na picha hiyo hiyo kama inajirudia. Hii ni sawa na kuamini kuwa maharamia wa somalia wakiwa na mitumbwi yao walikuwa wanaweza kuteka majimeli makubwa!!!!! Kumbuka Kenya ni nchi, inalo jeshi, vifaru, wizara ya usalama na ulinzi, n.k hainiingii akilini eti wanamgambo ... wasio na serikali, wala jeshi, wala wizara ya ulinzi wala bajeti ya ulinzi wafanye hilo wanalo lifanya kisha kutoweka!!! wasishikwe kisha waje wajitangaze ni wao wamefanya wasishikwe!!! kweli hili ???? 'Divide and Rule'
Well doneTwo of them are already killed!
View attachment 996014View attachment 996015View attachment 996016
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Isis nilidhania Marekani alishaangamiza Isis wote huko Iraq na Syria kumbe kuna mmoja alikimbia kujificha Tanzania?Hawa wezi omba suluhu, usa kamshika pabaya mkenya walahi
Kenya kwishney that’s all walahi
Wanasema watafika mbele ya Allah , Pumbavu kabisa alieleta huu upuuzi wa Dini ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ya mtume, kama utakuwa unaelewa kidogo imani ni nini hutamulaum ata kidogo.Huyu ndezi kavaa raba kali kinoma, dah.
Katika vitu ambavyo hunishinda kutafakari ni pale mtu anapojiandaa hivi kwenda kufa! Tena kwenda kuua wasio na hatia nawe kufa kwa propaganda za kipuuzi!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wakenya poleni kwa hili janga na hongereni kwa kuwa wahisha hao magaidi mbele ya mungu wao. Magaidi hakuna lugha nzuri ya kuongea nao zaidi ya kuwaua.Ni rasmi magaidi wote waliokuja kujitoa mhanga wameuawa na kuwahishwa mbele ya haki, idadi ya watu wote waliofariki imefikia 14
--------------------------------------------
In a televised address, President Uhuru Kenyatta has confirmed that all terrorists in 14 Riverside and Dusit D2 Hotel attack had been neutralized.
He added that 14 people had been killed in the terror attack.
Specialized Security Forces leading the operation at Dusit D2 Hotel, at 14 Riverside, Nairobi managed to gun down the attackers.
Gory photos shared on social media showed at least two of the attackers captured on CCTV camera dead.
Their lifeless, bullet-riddled bodies were seen lying next to several spent cartridges.
There were also bullet holes on the walls of the room where the terrorists were gunned down.
Police Kill All Terrorists in Riverside Attack - Uhuru Confirms
- The graphic photos seen by Kenyans.co.ke show the gunned persons wearing clothes and bullet jackets resembling those captured on the CCTV footage.He also indicated that the operation was over and that all the terrorists had been killed.
Naona habari ulivyoileta kama unashangilia ushindi wa 14 kwa 2, basi hongera.Ni rasmi magaidi wote waliokuja kujitoa mhanga wameuawa na kuwahishwa mbele ya haki, idadi ya watu wote waliofariki imefikia 14