Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Wanaweza sana. Tofauti na jeshi lakawaida ...speciak forces hawako static.. always wanabadilika na matukio yanayokutana nayo. Always trained..
Alshabab hawawez kula kichwa. Waache kuua raia wasio na silaha.. wakatafute size yao
Hawawezi kamwe. Lazima Al shabaab wale vichwa mpaka wachoke wenyewe.
Nawapenda sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hudhuria msiba - JamiiForums

Jr[emoji769]
 
Poleni sana ndugu zetu wakenya na Hingera sana jeshi la Kenya kwa kazi nzuri ya kurudisha usalama wa Kenya.

Hata hivyo nchi za Afrika mashariki zifanye jitihada zaidi kuzuia uhalifu kutokea badala ya kupambana na wahalifu wakiwa tayari wameshafanya uharibifu.

pili kuna wanafanya propaganda "ukifa vitani Mungu atakupa bikira saba" nadhani wengi wa wanaojitoa mhanga ili wakutane na hao mabikira kitu ambacho ni upotshoji wa hali ya juu. Tuanze kufuatilia kwa karibu wote wanaoeneza propaganda za kidini zisizokuwa na ukweli bila kuangalia dhehebu atokalo.
 
Narudia tena dini ni upuuzi. Hayo usemayo ni propaganda pia. Hivi unakumbuka mauaji ya dini yaliyowahi kutokea ulaya miaka ya nyuma ???... Si ukristo ,si uislam dini zote ni ushezi. Dini zote zimejaa unafiki ndio maana huwezi sikia viongozi na vyombo vya kiislam zikitolea ufafanuzi kilichofanyika Jana.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia isingekuwa na dhulma kusingekuwepo mauwaji kama hayo kila kukicha ,ni sababu watu wanadhulumiwa ndo mana wana revenge,, kuhusu mambo ya iman tizama vyakwako vinavyo kuhusu wewe na iman yako sijui kama dini gani mambo ya Iman zingine hayakuhus !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru wacha kupigana vita sio vyako
 

Attachments

  • IMG-20190116-WA0093.jpg
    62.3 KB · Views: 32
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…