Conspiracy theory.............
Hii vita haitaisha na ni lazima ujue chanzo na migogoro yote hii ndio unaweza kuja na conclusionPoleni sana ndugu zetu wakenya na Hingera sana jeshi la Kenya kwa kazi nzuri ya kurudisha usalama wa Kenya.
Hata hivyo nchi za Afrika mashariki zifanye jitihada zaidi kuzuia uhalifu kutokea badala ya kupambana na wahalifu wakiwa tayari wameshafanya uharibifu.
pili kuna wanafanya propaganda "ukifa vitani Mungu atakupa bikira saba" nadhani wengi wa wanaojitoa mhanga ili wakutane na hao mabikira kitu ambacho ni upotshoji wa hali ya juu. Tuanze kufuatilia kwa karibu wote wanaoeneza propaganda za kidini zisizokuwa na ukweli bila kuangalia dhehebu atokalo.
Wananunuawazungu ndo wana wafadhili hao magaidi.
al Shabab wana pata wapi Silaha,vifaru na magari?
VITA NI BIASHARA NZURI SANAA.
na ndo maana hao wazungu Hawaachi kutengeneza
SILAHAA
Sent using Jamii Forums mobile app
da upo? nimekumis sana sijaona maoni yako siku nyingiKaaazi kweli kweli walahi
Siku hizi ni Mbunge aisha achana na hizo mambo.Tusubiri Report ya Mohamed Ally sasa wa Jicho Pevu kama hawakutoka na malumbesa kama ya West-gate Attack
View attachment 996096
Kweli kabisa, sio eti waachiwe tu wavuke mipaka kwasababu miili ni ya waafrika.Sheria ichukue mkondo wake,kila kazi ina mipaka yake sio kufanya upendavyo wewe tu.
Nafaham kama Mbunge ila nilijua labda alikabidhi vijana wake kazi waiendeleze banah!Siku hizi ni Mbunge aisha achana na hizo mambo.
MGC
mkuu hata sijakashifu dini ya mwingine lakini siamini kama dini yeyote inahusika na ugaidi, bali ni kundi la watu wachache (magaidi) wanajificha kwenye kivuli cha dini. Huku ndipo wanapovutia vijana kujiunga na ugaidi. wito wangu tupambane na hao recruiting agency.Dunia isingekuwa na dhulma kusingekuwepo mauwaji kama hayo kila kukicha ,ni sababu watu wanadhulumiwa ndo mana wana revenge,, kuhusu mambo ya iman tizama vyakwako vinavyo kuhusu wewe na iman yako sijui kama dini gani mambo ya Iman zingine hayakuhus !
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani nimeiona pekee yangu kumbe tupo wengi,Huyu ndezi kavaa raba kali kinoma, dah.
Katika vitu ambavyo hunishinda kutafakari ni pale mtu anapojiandaa hivi kwenda kufa! Tena kwenda kuua wasio na hatia nawe kufa kwa propaganda za kipuuzi!
Sent from my iPhone using JamiiForums