Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Poleni sana ndugu zetu wakenya na Hingera sana jeshi la Kenya kwa kazi nzuri ya kurudisha usalama wa Kenya.

Hata hivyo nchi za Afrika mashariki zifanye jitihada zaidi kuzuia uhalifu kutokea badala ya kupambana na wahalifu wakiwa tayari wameshafanya uharibifu.

pili kuna wanafanya propaganda "ukifa vitani Mungu atakupa bikira saba" nadhani wengi wa wanaojitoa mhanga ili wakutane na hao mabikira kitu ambacho ni upotshoji wa hali ya juu. Tuanze kufuatilia kwa karibu wote wanaoeneza propaganda za kidini zisizokuwa na ukweli bila kuangalia dhehebu atokalo.
Hii vita haitaisha na ni lazima ujue chanzo na migogoro yote hii ndio unaweza kuja na conclusion
Kila sehemu iliyokuwa na matukio haya wasomali huwa wanapigwa sana na kuuwawa na wengi kushuhudia wakiwa wadogo kwa umri jinsi baba zao na ndugu zao wanavyouliwa mpaka wanawake kubakwa mbele zao.

Hebu vaa viatu vyao je ungefanya nini?
Haya ndio matokeo na ni revenge

Unaweza kuongea unalotaka lakini deep inside hata wao wakenya wanajua hilo
Fuatilia habari za awali na majimbo yao tangu wale wanafunzi waliouwawa na kilichofuatilia kwa wakazi wa kule


Sent from my SM using Tapatalk
 


CCTV captures Nairobi gunmen as they carry weapons during attack

Surveillance footage has been released showing four heavily armed men walking around the hotel complex in Nairobi as they detonated bombs, threw grenades and fire shots killing at least 14 people
 
Tusubiri Report ya Mohamed Ally sasa wa Jicho Pevu kama hawakutoka na malumbesa kama ya West-gate Attack
vlcsnap-2019-01-16-13h42m29s612.png
 

Attachments

  • vlcsnap-2019-01-16-13h42m29s612.png
    vlcsnap-2019-01-16-13h42m29s612.png
    52 KB · Views: 30
Hawa NYT wakiripoti gun violence kwao huko hutaona maiti za watu ila jana walikipata cha moto baada ya kupost picha za maiti zikiwa zimezagaa hotelini (Dusit Hotel).
Kama wewe ni Mwafrika uliyechoshwa na negative and biased coverage of Africa by Western media lazima hii ikuguse na wewe.
NYT wamekataa kuomba msamaha na badala yake wamejaribu kutoa maelezo ya kwa nini walifanya hivyo.
Kuna hatari ya Bureau Chief wao kufukuzwa.

1547637214787.png
 
Yaan unamuua mtu hana hata hatia...halafu yanakusanyana na kusema alakibalu....hawa jamaa sijui huwa wanamuabudu mungu gani! Pumbavu zao kabisa. Yaani najuta kwa nini nilianzisha mahusiano ya kudumu na Hawa kima wavaa ushungi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia isingekuwa na dhulma kusingekuwepo mauwaji kama hayo kila kukicha ,ni sababu watu wanadhulumiwa ndo mana wana revenge,, kuhusu mambo ya iman tizama vyakwako vinavyo kuhusu wewe na iman yako sijui kama dini gani mambo ya Iman zingine hayakuhus !

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hata sijakashifu dini ya mwingine lakini siamini kama dini yeyote inahusika na ugaidi, bali ni kundi la watu wachache (magaidi) wanajificha kwenye kivuli cha dini. Huku ndipo wanapovutia vijana kujiunga na ugaidi. wito wangu tupambane na hao recruiting agency.

Kuhusu udhalimu wachofanyiwa wasomali nadhani haijafikia wakati wa Utumwa na ukoloni wa mwafrika, haijafikia apartheid kama ile kule Afrika kusini, Ruanda na burundi walichinjana kama wote waliakaa chini wakakubaliana mwanzo mpya. Hata somali inawezekana ni international community.
 
Kina ****** ndio wanachochea hii mambo!
(wachache sana watanielewa)
 
Ngoja spokesperson wao aje kuwatetea wazungu kama kawaida yao, au mmesahau wazungu kwa ni miungu,

😅😅😅😅😅👇👇👇👇
20190116_141717.jpg
 
Huyu ndezi kavaa raba kali kinoma, dah.

Katika vitu ambavyo hunishinda kutafakari ni pale mtu anapojiandaa hivi kwenda kufa! Tena kwenda kuua wasio na hatia nawe kufa kwa propaganda za kipuuzi!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nilidhani nimeiona pekee yangu kumbe tupo wengi,

Hiyo raba kwa hapa bongo ni za kutafuta sana cuz sasa hivi hakuna fashion ya kiatu kama hicho inayo-trend baada ya air max kupitwa na wakati!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shenzi kabisa. Wakalieni kooni hao pumbavu
 
Back
Top Bottom