Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Ndio hapo sasa.
Msitukane mamba Kabla hujavuka mto!
Tambua Hawa magaidi walivyokuwa wapmbv
Hao wanao taka kuwa target na pia wamejichanganya na raia wazawa na wanaoathirika zaidi ni raia wazawa!
Hapa issue syo Amani ni ulinzi/usalama
Inasemekana kenya alishataadharishwa Kabla?

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania amani ipo wapi .
wakari RAIS WETU ANATAKA KUCHINJWA NA UPINZANI
hauoni?

Sent using Jamii Forums mobile app

Amani ipo ndio sababu Tundu Lissu alipopigwa Risasi ilikuwa breaking news ya Mwaka mzima wakati Somalia Mawaziri wanapigwa Kombora unakuta Kwenye gazeti page ya tatu huko huko Mogadishu kwa Kuwa Ni Matukio ya kawaida
 
Utaona mwisho wake
Jamaa wanaweza toka ndani vizuri kama Raia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…