Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

na Huyo anayesema anataka KUCHINJWA
unamwambiaje?
Amani ipo ndio sababu Tundu Lissu alipopigwa Risasi ilikuwa breaking news ya Mwaka mzima wakati Somalia Mawaziri wanapigwa Kombora unakuta Kwenye gazeti page ya tatu huko huko Mogadishu kwa Kuwa Ni Matukio ya kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Kali
 
Pole zao,lakini waache majigambo na majivuno.
waje huku wajifunze ujasusi na ulinzi

#My God Iz Awesome [emoji123]
Unasema au yanakutoka tu? Unaujua ugaidi wewe? Ofisi za balozi wa marekani nchini Tanzania ule uliolipuliwa unajua ulikuwa wapi? Poleni sana ndugu na jirani zetu kwa janga hili ambalo halina ujanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
15 th january 2016 -15th January 2019 hmmm.
Hii sio coincidence hakunaga bahati mbaya.
Poleni sana majirani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…