Terrorist attack at Riverside, Nairobi-Kenya: All attackers eliminated and atleast 21 people are dead. Al-Shabab claimed responsibility for the attack

Ndugu zangu wakenya msimwanini kila rafiki, wachunguzeni wa marekani wanawaramba kisogo

NB: taarifa ya kushambuliwa kwenu walikua nayo ila cha ajabu hawakuwaambia itakua wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
badala yake wamesema tz ndio itashambuliwa. Angalieni Askari wenyu wanavyoaohmgelea eneo la yukio.
 
Duh, Kenya itakalizwa na Al Shabab aiseee.. Oooh
 
Utaona mwisho wake
Jamaa wanaweza toka ndani vizuri kama Raia
Hiki ndo kilifanyika kwenye shambukizi LA westgate, nilifuatilia sana hiki Kisa lakini nilishangaa sana, washambuliaji, kuna mmoja wapo baada ya kushambulia alitandika muswala akasali humo humo alimokuwa anashambulia alafu wengine walibadirisha mavazi haraka wakajichanganya kwa RAIA wakatoka nje kama kawaida, kilicho nisikitisha kuna mama mmoja alimkariri mshambuliaji mmoja ambaye tayari alikuwa ameshabadiri mavazi yule mama alimkomalia yule mshambuliaji kwa kumsontea kwa mapolisi lakini mapolisi hawakushughulia naye hadi yule jamaa akatokomea na kujichanganya kwa RAIA. Hawa magaida wapuuzi sana
 
Ila mjipe imani Marekani Imejenga Kambi Kenya hahaha
Kuna mpaka troops za Royal forces kutoka UK lakini bado alshabebi anagawa kisago kama kawa, kwa kweli ukichanganya na wakora inakua ni balaa tupu kwa sisi watalii wa kimataifa wenye matumizi makubwa in terms of dollars.
 
Mwenyezi Mungu unaye ishi naomba uwaadhibu hawa magaidi wa Alshababu maana wanawatesa sana ndugu zetu hadi sisi majirani hatuna amani kabisa
 
Poleni sana ndg zetu na majirani zetu Wakenya kwa mlipuko huo wa shambulio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…