Tesha ni kanjanja tu hakunaga mwanajeshi wa hivi JWTZ

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

(✍️ na mchambuzi wetu)

TESHA NI KANJANJA TU HAKUNAGA MWANAJESHI WA HIVI JWTZ

Nimemsikiliza huyu mtu aliyejivalisha nguo za JWTZ na anajiita Kepteni Tesha nimebaki najiuliza maswali mengi sana kama hii ndiyo aina ya wanajeshi wetu basi tuna wanajeshi vilaza sana kwenye JWTZ..

Sijamuelewa anaongelea nini na sijamuelewa anataka nini na alitaka kuongea nini kama ni mwanajeshi kweli!.. Kwa kifupi alikuwa anajiumauma tu na kutajataja watu sijui Polepole , Warioba , Jaji nani sijui!.

Mchaga Tesha kanifurahisha na kunichekesha sana kusema eti kaandika barua kwa CDF kuwa jeshi lichukue nchi? Yaani Tesha kwa akili hizi halafu eti anasomea upilot jeshini basi kama ni kweli yuko JWTZ naanza kuelewa kwa nini tunapasuka kila siku tunapokwenda kwenye mission za kulinda amani hata hapo Kongo tu ambako muuza sabuni za mapapai anafuata risasi na bunduki kwa ajili ya kufanya mauaji ya watu

Mchaga Tesha anaongelea sijui Jaji Warioba,sijui Polepole mara Jaji Makaramba!.. Yaani kwa kifupi Tesha anaongelea wanaharakati kuwa ndiyo watu wa maana sana kwenye hii nchi kwa mtazamo wake!.

Tesha pamoja na kuwa anasoma alichokuwa anaongea bado kashindwa kueleweka alikuwa anazungumzia matatizo gani ta watanzania! Yaani Tesha anataka kusema watu wakiogomea uchaguzi kwa sababu zao wenyewe ,watu waliogomea kutoa maoni yao kwenye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ni watu wa maana sana na wanawakilishz watanzania?

Tesha anaongelea kuwa eti JWTZ ndiyo tunaini pekee la watanzania kwa sasa. Ni lini Tesha aliambiwa na watanzania kuwa jeshi limekuwa tegemeo lao kwenye mambo yao?

Halafu ujinga wa Tesha ni wa kiwango cha bumunda gumu sana yaaani. Tesha anaonekana bado ana akili za kitoto sana kuamini kuwa eti jeshi lisimamishe uchaguzi 😆

Tesha hawezi kuwa mwanajeshi wa JWTZ na kuvaa kwake magwanda ya JWTZ siyo kigezo cha kuwa mwanajeshi!..

Wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanahaha sana kuaminisha watu kuwa wakiandamana hiyo tarehe 29.10.2025 kuna wanajeshi watawaunga mkono!.. walianza na propaganda za JWTZ wamemchoka CDF hawamtaki wakaja na mwanajeshi sijui kashika bunduki na uniform analalamika sijui blah blah gani!..

Tesha ni mpango wa wanaharakati na propaganda kama zilivyo propaganda nyingine kuwavuta mkachezee virubgu hiyo tarehe 29.10.2025.

Hivi kuna sehemu duniani jeshi linataka kupindua serikali linaongea? Yaani kepteni wa jeshi si ana uwezo wa kupindua serikali sasa kwenye mavideo anatafuta nini? Yaaani eti anaonba CDF jeshi lipindue serikali? Tesha anatakiwa kurudishwa studio upya kwenda kutengeneza hii cript upya maana ni kama imekosewa!..

WITO ni ule ule kuwa tarehe 29.10.2025 msijichanganye kuandamana hamtakaa muamini kitu mtakutana nacho!.. Hakuna mtu wa kuzuia uchaguzi na hakuna mtu wa kuandamana achilia mbali hao walevi wanaosema watakula wali na tausi wa Ikulu!..
 
Wee ni mjinga ,una matope kichwani.

Sasa hapo umechambua nn ? hii takataka ndio unaiita Uchambuzi??.

Unaishia kusema.... Tesha kanichekesha, ana akili za kitoto,hawez kua mwanajeshi, n.k

Ulipozaliwa ulipata HIE matokeo yake Uwezo wako wa Ubongo ni kiduchuuuu karibu sifuri
 
Ukiweza kupiga picha umevaa hizo Sare tutakusikiliza milele
 
Wee ni mjinga ,una matope kichwani.

Sasa hapo umechambua nn ? hii takataka ndio unaiita Uchambuzi??.

Unaishia kusema.... Tesha kanichekesha, ana akili za kitoto,hawez kua mwanajeshi, n.k

Ulipozaliwa ulipata HIE matokeo yake Uwezo wako wa Ubongo ni kiduchuuuu karibu sifuri
Huyu Ritz ni mmoja ya watu waoabisha Waislam
 
Kapteni msomi wa TPDF aliyehudumu pia katika misheni za Jeshi la Umoja wa Mataifa UN la Ulinzi wa Amani,
ameonesha uwezo wake mkubwa wa kufafanua mambo, kufanya rejea ya mambo mbalimbali na kisha kutoa hitimisho nini kifanyike kuokoa taifa.

Nikisoma wale askari waliotaka kumpindua Nyerere 1983 nao walikuwa na ufahamu mkubwa wa mambo, na sisi 2025 tutafanikiwa kuona mambo safari hii historia inaandikwa serikali kuondolewa .

Inaonesha vyuo vya kijeshi nchini Tanzania na chuo cha ulinzi wa Taifa vina rasilimali watu ya wahadhiri wazuri walio maofisa wa kijeshi na raia pia kuwapika maofisa kuweza kuchanganua mambo mengi mtambuka kama ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kidiplomasia, kiusalama na kiulinzi n.k

TOKA MAKTABA :
Mkuu wa chuo cha ulinzi wa taifa NDC, meja jenerali Ibrahim Mhona akiongelea mafunzo yanayotolewa chuoni

View: https://m.youtube.com/watch?v=YGH4z19yylk
 
Wanaukumbi.

(✍️ na mchambuzi wetu)

TESHA NI KANJANJA TU HAKUNAGA MWANAJESHI WA HIVI JWTZ

Nimemsikiliza huyu mtu aliyejivalisha nguo za JWTZ na anajiita Kepteni Tesha nimebaki najiuliza maswali mengi sana kama hii ndiyo aina ya wanajeshi wetu basi tuna wanajeshi vilaza sana kwenye JWTZ..

Sijamuelewa anaongelea nini na sijamuelewa anataka nini na alitaka kuongea nini kama ni mwanajeshi kweli!.. Kwa kifupi alikuwa anajiumauma tu na kutajataja watu sijui Polepole , Warioba , Jaji nani sijui!.

Mchaga Tesha kanifurahisha na kunichekesha sana kusema eti kaandika barua kwa CDF kuwa jeshi lichukue nchi? Yaani Tesha kwa akili hizi halafu eti anasomea upilot jeshini basi kama ni kweli yuko JWTZ naanza kuelewa kwa nini tunapasuka kila siku tunapokwenda kwenye mission za kulinda amani hata hapo Kongo tu ambako muuza sabuni za mapapai anafuata risasi na bunduki kwa ajili ya kufanya mauaji ya watu

Mchaga Tesha anaongelea sijui Jaji Warioba,sijui Polepole mara Jaji Makaramba!.. Yaani kwa kifupi Tesha anaongelea wanaharakati kuwa ndiyo watu wa maana sana kwenye hii nchi kwa mtazamo wake!.

Tesha pamoja na kuwa anasoma alichokuwa anaongea bado kashindwa kueleweka alikuwa anazungumzia matatizo gani ta watanzania! Yaani Tesha anataka kusema watu wakiogomea uchaguzi kwa sababu zao wenyewe ,watu waliogomea kutoa maoni yao kwenye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ni watu wa maana sana na wanawakilishz watanzania?

Tesha anaongelea kuwa eti JWTZ ndiyo tunaini pekee la watanzania kwa sasa. Ni lini Tesha aliambiwa na watanzania kuwa jeshi limekuwa tegemeo lao kwenye mambo yao?

Halafu ujinga wa Tesha ni wa kiwango cha bumunda gumu sana yaaani. Tesha anaonekana bado ana akili za kitoto sana kuamini kuwa eti jeshi lisimamishe uchaguzi 😆

Tesha hawezi kuwa mwanajeshi wa JWTZ na kuvaa kwake magwanda ya JWTZ siyo kigezo cha kuwa mwanajeshi!..

Wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanahaha sana kuaminisha watu kuwa wakiandamana hiyo tarehe 29.10.2025 kuna wanajeshi watawaunga mkono!.. walianza na propaganda za JWTZ wamemchoka CDF hawamtaki wakaja na mwanajeshi sijui kashika bunduki na uniform analalamika sijui blah blah gani!..

Tesha ni mpango wa wanaharakati na propaganda kama zilivyo propaganda nyingine kuwavuta mkachezee virubgu hiyo tarehe 29.10.2025.

Hivi kuna sehemu duniani jeshi linataka kupindua serikali linaongea? Yaani kepteni wa jeshi si ana uwezo wa kupindua serikali sasa kwenye mavideo anatafuta nini? Yaaani eti anaonba CDF jeshi lipindue serikali? Tesha anatakiwa kurudishwa studio upya kwenda kutengeneza hii cript upya maana ni kama imekosewa!..

WITO ni ule ule kuwa tarehe 29.10.2025 msijichanganye kuandamana hamtakaa muamini kitu mtakutana nacho!.. Hakuna mtu wa kuzuia uchaguzi na hakuna mtu wa kuandamana achilia mbali hao walevi wanaosema watakula wali na tausi wa Ikulu!..
Mtaandika sana mwaka huu.

Jueni tu mwaka huu ndo mwaka wenu wa mwisho kuwa madarakani.
 
Kumbe bado uko hai!

God bless Israel
 
Umeandika kama mwendawazimu mlevi, aliye mropokaji. Kukupuuza ndiyo jibu likufaalo.
 
Back
Top Bottom