Tesha ni kanjanja tu hakunaga mwanajeshi wa hivi JWTZ

Wanaukumbi.

(✍️ na mchambuzi wetu)

TESHA NI KANJANJA TU HAKUNAGA MWANAJESHI WA HIVI JWTZ

Nimemsikiliza huyu mtu aliyejivalisha nguo za JWTZ na anajiita Kepteni Tesha nimebaki najiuliza maswali mengi sana kama hii ndiyo aina ya wanajeshi wetu basi tuna wanajeshi vilaza sana kwenye JWTZ..

Sijamuelewa anaongelea nini na sijamuelewa anataka nini na alitaka kuongea nini kama ni mwanajeshi kweli!.. Kwa kifupi alikuwa anajiumauma tu na kutajataja watu sijui Polepole , Warioba , Jaji nani sijui!.

Mchaga Tesha kanifurahisha na kunichekesha sana kusema eti kaandika barua kwa CDF kuwa jeshi lichukue nchi? Yaani Tesha kwa akili hizi halafu eti anasomea upilot jeshini basi kama ni kweli yuko JWTZ naanza kuelewa kwa nini tunapasuka kila siku tunapokwenda kwenye mission za kulinda amani hata hapo Kongo tu ambako muuza sabuni za mapapai anafuata risasi na bunduki kwa ajili ya kufanya mauaji ya watu

Mchaga Tesha anaongelea sijui Jaji Warioba,sijui Polepole mara Jaji Makaramba!.. Yaani kwa kifupi Tesha anaongelea wanaharakati kuwa ndiyo watu wa maana sana kwenye hii nchi kwa mtazamo wake!.

Tesha pamoja na kuwa anasoma alichokuwa anaongea bado kashindwa kueleweka alikuwa anazungumzia matatizo gani ta watanzania! Yaani Tesha anataka kusema watu wakiogomea uchaguzi kwa sababu zao wenyewe ,watu waliogomea kutoa maoni yao kwenye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ni watu wa maana sana na wanawakilishz watanzania?

Tesha anaongelea kuwa eti JWTZ ndiyo tunaini pekee la watanzania kwa sasa. Ni lini Tesha aliambiwa na watanzania kuwa jeshi limekuwa tegemeo lao kwenye mambo yao?

Halafu ujinga wa Tesha ni wa kiwango cha bumunda gumu sana yaaani. Tesha anaonekana bado ana akili za kitoto sana kuamini kuwa eti jeshi lisimamishe uchaguzi 😆

Tesha hawezi kuwa mwanajeshi wa JWTZ na kuvaa kwake magwanda ya JWTZ siyo kigezo cha kuwa mwanajeshi!..

Wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanahaha sana kuaminisha watu kuwa wakiandamana hiyo tarehe 29.10.2025 kuna wanajeshi watawaunga mkono!.. walianza na propaganda za JWTZ wamemchoka CDF hawamtaki wakaja na mwanajeshi sijui kashika bunduki na uniform analalamika sijui blah blah gani!..

Tesha ni mpango wa wanaharakati na propaganda kama zilivyo propaganda nyingine kuwavuta mkachezee virubgu hiyo tarehe 29.10.2025.

Hivi kuna sehemu duniani jeshi linataka kupindua serikali linaongea? Yaani kepteni wa jeshi si ana uwezo wa kupindua serikali sasa kwenye mavideo anatafuta nini? Yaaani eti anaonba CDF jeshi lipindue serikali? Tesha anatakiwa kurudishwa studio upya kwenda kutengeneza hii cript upya maana ni kama imekosewa!..

WITO ni ule ule kuwa tarehe 29.10.2025 msijichanganye kuandamana hamtakaa muamini kitu mtakutana nacho!.. Hakuna mtu wa kuzuia uchaguzi na hakuna mtu wa kuandamana achilia mbali hao walevi wanaosema watakula wali na tausi wa Ikulu!..
Taarabu mwanzo mwisho! Wewe ni Hadija Kopa, au ni Mzew Yusuph?

Badala ya kujibu hoja zake, au kututhibitishia kama ni Mwanajeshi kweli, au la!! Wewe unaleta tu vichambo kama vya Bosi wako!! Nyinyi kweli mmepewa mamlaka kwa bahati mbaya sana. Maana uwezo hamna!
 
Sahau kuhusu uhalali wake wa kuwa ni mwanajeshi kweli au la...

Hebu tu - focus kwenye contents na logic ya kila hoja aliyoongea. Je, ni kweli au mzushi tu...?

Sikiliza ndugu Ritz;

Mungu wetu wa mbinguni yuko very clear kuhusu udhalimu na uovu wa kibinadamu...

Kwamba, anaweza kutumia hata mawe au miti kutimiza kusudi lake..!!

Tunaelewa kuwa hii ni lazima ilete shock ndani ya kambi ya uovu na udhalimu...

But, PUT THIS IN YOUR MINDS........Hukumu dhidi ya walio kinyume na HAKI imeshaanza....

Muda kidogo bado upo wa kulegeza hukumu yenu. Do it before it's too late.,.
 
Inaonesha vyuo vya kijeshi nchini Tanzania na chuo cha ulinzi wa Taifa vina rasilimali watu ya wahadhiri wazuri walio maofisa wa kijeshi na raia pia kuwapika maofisa kuweza kuchanganua mambo mengi mtambuka kama ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kidiplomasia, kiusalama na kiulinzi n.k
TOKA MAKTABA :

Meja jenerali Ibrahim Michael Mhona wa kutoka TPDF (JWTZ) moja ya majeshi chini ya mwamvuli wa SADC SAMIDRC akibadilishana nyakara za makubaliano na Meja jenerali Sultani Makenga wa majeshi ya waasi wa AFC / M23
1759590767739.jpeg
 
Kiranga naona saivi hali yako mbaya sana.

Una ndugu kiongozi nini? Mbona kama umechanganyikiwa sasaivi?

Tulia Watanzania tulikomboe Taifa letu.
Mimi mwenyewe kiongozi.

Jadili hoja usimjadili mtoa hoja.

Kumjadili mtoa hoja badala ya hoja ni ad hominem logical fallacy.

Wanajeshi wanaojua kazi yao wakichoshwa na uongozi wanapindua nchi.

Hawafanyi haya maigizo mnayoyashangilia mitandaoni.

I do not agree with military coups, but Ibrahim Traore did what he had to do.

He did not go viral for likes.

When you have to shoot, shoot. Don't talk.
 
Wanaukumbi.

(✍️ na mchambuzi wetu)

TESHA NI KANJANJA TU HAKUNAGA MWANAJESHI WA HIVI JWTZ

Nimemsikiliza huyu mtu aliyejivalisha nguo za JWTZ na anajiita Kepteni Tesha nimebaki najiuliza maswali mengi sana kama hii ndiyo aina ya wanajeshi wetu basi tuna wanajeshi vilaza sana kwenye JWTZ..

Sijamuelewa anaongelea nini na sijamuelewa anataka nini na alitaka kuongea nini kama ni mwanajeshi kweli!.. Kwa kifupi alikuwa anajiumauma tu na kutajataja watu sijui Polepole , Warioba , Jaji nani sijui!.

Mchaga Tesha kanifurahisha na kunichekesha sana kusema eti kaandika barua kwa CDF kuwa jeshi lichukue nchi? Yaani Tesha kwa akili hizi halafu eti anasomea upilot jeshini basi kama ni kweli yuko JWTZ naanza kuelewa kwa nini tunapasuka kila siku tunapokwenda kwenye mission za kulinda amani hata hapo Kongo tu ambako muuza sabuni za mapapai anafuata risasi na bunduki kwa ajili ya kufanya mauaji ya watu

Mchaga Tesha anaongelea sijui Jaji Warioba,sijui Polepole mara Jaji Makaramba!.. Yaani kwa kifupi Tesha anaongelea wanaharakati kuwa ndiyo watu wa maana sana kwenye hii nchi kwa mtazamo wake!.

Tesha pamoja na kuwa anasoma alichokuwa anaongea bado kashindwa kueleweka alikuwa anazungumzia matatizo gani ta watanzania! Yaani Tesha anataka kusema watu wakiogomea uchaguzi kwa sababu zao wenyewe ,watu waliogomea kutoa maoni yao kwenye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ni watu wa maana sana na wanawakilishz watanzania?

Tesha anaongelea kuwa eti JWTZ ndiyo tunaini pekee la watanzania kwa sasa. Ni lini Tesha aliambiwa na watanzania kuwa jeshi limekuwa tegemeo lao kwenye mambo yao?

Halafu ujinga wa Tesha ni wa kiwango cha bumunda gumu sana yaaani. Tesha anaonekana bado ana akili za kitoto sana kuamini kuwa eti jeshi lisimamishe uchaguzi 😆

Tesha hawezi kuwa mwanajeshi wa JWTZ na kuvaa kwake magwanda ya JWTZ siyo kigezo cha kuwa mwanajeshi!..

Wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanahaha sana kuaminisha watu kuwa wakiandamana hiyo tarehe 29.10.2025 kuna wanajeshi watawaunga mkono!.. walianza na propaganda za JWTZ wamemchoka CDF hawamtaki wakaja na mwanajeshi sijui kashika bunduki na uniform analalamika sijui blah blah gani!..

Tesha ni mpango wa wanaharakati na propaganda kama zilivyo propaganda nyingine kuwavuta mkachezee virubgu hiyo tarehe 29.10.2025.

Hivi kuna sehemu duniani jeshi linataka kupindua serikali linaongea? Yaani kepteni wa jeshi si ana uwezo wa kupindua serikali sasa kwenye mavideo anatafuta nini? Yaaani eti anaonba CDF jeshi lipindue serikali? Tesha anatakiwa kurudishwa studio upya kwenda kutengeneza hii cript upya maana ni kama imekosewa!..

WITO ni ule ule kuwa tarehe 29.10.2025 msijichanganye kuandamana hamtakaa muamini kitu mtakutana nacho!.. Hakuna mtu wa kuzuia uchaguzi na hakuna mtu wa kuandamana achilia mbali hao walevi wanaosema watakula wali na tausi wa Ikulu!..
Maneno mengiiii porojo tupu
 
kidiplomasia, kiusalama na kiulinzi n.k
JWTZ / TPDF ILIVYOSHIRIKI KUWEZESHA AMANI KWA MAJESHI YA SADC KUONDOKA CONGO

View: https://m.youtube.com/watch?v=8CaXVcTyRJg

1759590910497.jpeg

Tanzania’s Major General Ibrahim Michael Mhona and Alliance fleuve Congo AFC military commander Major General Sultani Makenga sign the agreement on SADC troops’ withdraw, on Friday, March 28, 2025 during their meeting at Serena Hotel, in Goma DR Congo

Mazungumzo na maafikiano yaliyofikiwa yaleta furaha na pia matumaini mapya
View: https://m.youtube.com/watch?v=xZqjfJXSIMU

👆
28 March 2025
Hoteli Serena Goma
Goma, DR Congo

Mpambe wa Magufuli katika ujumbe wa maafikiano Goma
1759591297591.jpeg

Naye aliyekuwa mpambe wa rais Magufuli , Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy mwenye Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Eneo lake la utafiti lilikuwa ni “Assessing the Effectiveness of the United Nations Peacekeeping Operations: The case of Democratic Republic of Congo and Sudan. Aonekana katika timu iliyofanikisha muafaka wa kuwezesha majeshi ya SAMIDRC kuondoka DR Congo.

Meja Jenerali Dr. Mbaraka Naziad Mkeremy alifanikiwa kutetea andiko lake na kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) wa usuluhishi (peacekeeping) tarehe 14 Disemba 2023 .

Na sasa umahiri wake katika eneo hilo la kisomi ametumika vyema na timu ya wapatanishi wa SADC kufanikisha mkwamo kuondoka na kuwezesha mazingira ya majeshi ya SADC SAMIDRC kuondoka Congo DR salama..

View: https://m.youtube.com/watch?v=MgdGyWZg9Cs
 
Wanaukumbi.

(✍️ na mchambuzi wetu)

TESHA NI KANJANJA TU HAKUNAGA MWANAJESHI WA HIVI JWTZ

Nimemsikiliza huyu mtu aliyejivalisha nguo za JWTZ na anajiita Kepteni Tesha nimebaki najiuliza maswali mengi sana kama hii ndiyo aina ya wanajeshi wetu basi tuna wanajeshi vilaza sana kwenye JWTZ..

Sijamuelewa anaongelea nini na sijamuelewa anataka nini na alitaka kuongea nini kama ni mwanajeshi kweli!.. Kwa kifupi alikuwa anajiumauma tu na kutajataja watu sijui Polepole , Warioba , Jaji nani sijui!.

Mchaga Tesha kanifurahisha na kunichekesha sana kusema eti kaandika barua kwa CDF kuwa jeshi lichukue nchi? Yaani Tesha kwa akili hizi halafu eti anasomea upilot jeshini basi kama ni kweli yuko JWTZ naanza kuelewa kwa nini tunapasuka kila siku tunapokwenda kwenye mission za kulinda amani hata hapo Kongo tu ambako muuza sabuni za mapapai anafuata risasi na bunduki kwa ajili ya kufanya mauaji ya watu

Mchaga Tesha anaongelea sijui Jaji Warioba,sijui Polepole mara Jaji Makaramba!.. Yaani kwa kifupi Tesha anaongelea wanaharakati kuwa ndiyo watu wa maana sana kwenye hii nchi kwa mtazamo wake!.

Tesha pamoja na kuwa anasoma alichokuwa anaongea bado kashindwa kueleweka alikuwa anazungumzia matatizo gani ta watanzania! Yaani Tesha anataka kusema watu wakiogomea uchaguzi kwa sababu zao wenyewe ,watu waliogomea kutoa maoni yao kwenye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ni watu wa maana sana na wanawakilishz watanzania?

Tesha anaongelea kuwa eti JWTZ ndiyo tunaini pekee la watanzania kwa sasa. Ni lini Tesha aliambiwa na watanzania kuwa jeshi limekuwa tegemeo lao kwenye mambo yao?

Halafu ujinga wa Tesha ni wa kiwango cha bumunda gumu sana yaaani. Tesha anaonekana bado ana akili za kitoto sana kuamini kuwa eti jeshi lisimamishe uchaguzi 😆

Tesha hawezi kuwa mwanajeshi wa JWTZ na kuvaa kwake magwanda ya JWTZ siyo kigezo cha kuwa mwanajeshi!..

Wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanahaha sana kuaminisha watu kuwa wakiandamana hiyo tarehe 29.10.2025 kuna wanajeshi watawaunga mkono!.. walianza na propaganda za JWTZ wamemchoka CDF hawamtaki wakaja na mwanajeshi sijui kashika bunduki na uniform analalamika sijui blah blah gani!..

Tesha ni mpango wa wanaharakati na propaganda kama zilivyo propaganda nyingine kuwavuta mkachezee virubgu hiyo tarehe 29.10.2025.

Hivi kuna sehemu duniani jeshi linataka kupindua serikali linaongea? Yaani kepteni wa jeshi si ana uwezo wa kupindua serikali sasa kwenye mavideo anatafuta nini? Yaaani eti anaonba CDF jeshi lipindue serikali? Tesha anatakiwa kurudishwa studio upya kwenda kutengeneza hii cript upya maana ni kama imekosewa!..

WITO ni ule ule kuwa tarehe 29.10.2025 msijichanganye kuandamana hamtakaa muamini kitu mtakutana nacho!.. Hakuna mtu wa kuzuia uchaguzi na hakuna mtu wa kuandamana achilia mbali hao walevi wanaosema watakula wali na tausi wa Ikulu!..
Haya Ritz wewe mtoto wa mjini
Captain Tesha ni Mtu wa kazi

Wewe unabwabwaja
Mwenzio anaongea kila kitu kilichopo hana longolongo
 
Siamini na wala Sipingi..
Lakini I can smell something fishy....
Lets wait and see...
 
Mimi mwenyewe kiongozi.

Jadili hoja usimjadili mtoa hoja.

Kumjadili mtoa hoja badala ya hoja ni ad hominem logical fallacy.

Wanajeshi wanaojua kazi yao wakichoshwa na uongozi wanapindua nchi.

Hawafanyi haya maigizo mnayoyashangilia mitandaoni.

I do not agree with military coups, but Ibrahim Traore did what he had to do.

He did not go viral for likes.

When you have to shoot, shoot. Don't talk.
Kiranga, binafsi nakubaliana na wewe..

Kwamba, WHEN YOU WANT TO SHOOT, SHOOT. DON'T TALK

But, si lazima kutumia njia ile ile ya DSM- Morogoro - Dodoma - Singida - Shinyanga Ili kufika Mwanza...

Ziko njia nyingi. Naweza kupita DSM - Chalinze/Bagamoyo - Moshi - Arusha- all the way across Ngorongoro & Serengeti - Musoma/Mara Kisha Mwanza plus many other alternative ways...

Huyu jamaa sio hata AI. Ni JWTZ soldier halisi. I personally know him...

It's not time to shoot yet. We're still receiving warning ⚠️ ⚠️ messages...

The right moment to shoot is coming...
 
Wanaukumbi.

(✍️ na mchambuzi wetu)

TESHA NI KANJANJA TU HAKUNAGA MWANAJESHI WA HIVI JWTZ

Nimemsikiliza huyu mtu aliyejivalisha nguo za JWTZ na anajiita Kepteni Tesha nimebaki najiuliza maswali mengi sana kama hii ndiyo aina ya wanajeshi wetu basi tuna wanajeshi vilaza sana kwenye JWTZ..

Sijamuelewa anaongelea nini na sijamuelewa anataka nini na alitaka kuongea nini kama ni mwanajeshi kweli!.. Kwa kifupi alikuwa anajiumauma tu na kutajataja watu sijui Polepole , Warioba , Jaji nani sijui!.

Mchaga Tesha kanifurahisha na kunichekesha sana kusema eti kaandika barua kwa CDF kuwa jeshi lichukue nchi? Yaani Tesha kwa akili hizi halafu eti anasomea upilot jeshini basi kama ni kweli yuko JWTZ naanza kuelewa kwa nini tunapasuka kila siku tunapokwenda kwenye mission za kulinda amani hata hapo Kongo tu ambako muuza sabuni za mapapai anafuata risasi na bunduki kwa ajili ya kufanya mauaji ya watu

Mchaga Tesha anaongelea sijui Jaji Warioba,sijui Polepole mara Jaji Makaramba!.. Yaani kwa kifupi Tesha anaongelea wanaharakati kuwa ndiyo watu wa maana sana kwenye hii nchi kwa mtazamo wake!.

Tesha pamoja na kuwa anasoma alichokuwa anaongea bado kashindwa kueleweka alikuwa anazungumzia matatizo gani ta watanzania! Yaani Tesha anataka kusema watu wakiogomea uchaguzi kwa sababu zao wenyewe ,watu waliogomea kutoa maoni yao kwenye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ni watu wa maana sana na wanawakilishz watanzania?

Tesha anaongelea kuwa eti JWTZ ndiyo tunaini pekee la watanzania kwa sasa. Ni lini Tesha aliambiwa na watanzania kuwa jeshi limekuwa tegemeo lao kwenye mambo yao?

Halafu ujinga wa Tesha ni wa kiwango cha bumunda gumu sana yaaani. Tesha anaonekana bado ana akili za kitoto sana kuamini kuwa eti jeshi lisimamishe uchaguzi 😆

Tesha hawezi kuwa mwanajeshi wa JWTZ na kuvaa kwake magwanda ya JWTZ siyo kigezo cha kuwa mwanajeshi!..

Wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanahaha sana kuaminisha watu kuwa wakiandamana hiyo tarehe 29.10.2025 kuna wanajeshi watawaunga mkono!.. walianza na propaganda za JWTZ wamemchoka CDF hawamtaki wakaja na mwanajeshi sijui kashika bunduki na uniform analalamika sijui blah blah gani!..

Tesha ni mpango wa wanaharakati na propaganda kama zilivyo propaganda nyingine kuwavuta mkachezee virubgu hiyo tarehe 29.10.2025.

Hivi kuna sehemu duniani jeshi linataka kupindua serikali linaongea? Yaani kepteni wa jeshi si ana uwezo wa kupindua serikali sasa kwenye mavideo anatafuta nini? Yaaani eti anaonba CDF jeshi lipindue serikali? Tesha anatakiwa kurudishwa studio upya kwenda kutengeneza hii cript upya maana ni kama imekosewa!..

WITO ni ule ule kuwa tarehe 29.10.2025 msijichanganye kuandamana hamtakaa muamini kitu mtakutana nacho!.. Hakuna mtu wa kuzuia uchaguzi na hakuna mtu wa kuandamana achilia mbali hao walevi wanaosema watakula wali na tausi wa Ikulu!..
Umeishiwa hoja...
Jiandaeni chawa...
 
JWTZ / TPDF imeweza kufanya juhudi za kidiplomasia kupatikana amani Mashariki ya Congo, ni wazi JWTZ haifurahii kuona mfumo wa Demokrasia unakanyagwa kiuholela na wahuni

TOKA MAKTABA :
Serena Hotel Goma nchini DR Congo

28 March 2025
SADC AND M23 IN GOMA DRC kuondoa askari wote wa SADC kwa haraka.wanajeshi wa SADC wakubali kuondoa askari wao kwa haraka Mjini Goma ,hii baada ya makubaliano ya moja kwa moja na wakuu wa majeshi kutoka mataifa husika .wanajeshi hao wataondoka na silaha zao zote ila za FARDC walio wakihifadhi wata zikabidhi M23

View: https://m.youtube.com/watch?v=8CaXVcTyRJg
 
Kiranga, binafsi nakubaliana na wewe..

Kwamba, WHEN YOU WANT TO SHOOT, SHOOT. DON'T TALK

But, si lazima kutumia njia ile ile ya DSM- Morogoro - Dodoma - Singida - Shinyanga Ili kufika Mwanza...

Ziko njia nyingi. Naweza kupita DSM - Chalinze/Bagamoyo - Moshi - Arusha- all the way across Ngorongoro & Serengeti - Musoma/Mara Kisha Mwanza plus many other alternative ways...

Huyu jamaa sio hata AI. Ni JWTZ soldier halisi. I personally know him...

It's not time to shoot yet. We're still receiving warning ⚠️ ⚠️ messages...

The right moment to shoot is coming...
Kama ni JWTZ kweli atachinjiwa baharini tu kwa kukosa strategic thinking.
 
Back
Top Bottom