The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,704
- 1,984
Tunachojali ni matamshi sio mavazi,
Ukiwa kama chawa(anaekaa kwenye uchafu) huwezi kuelewa
Ukiwa kama chawa(anaekaa kwenye uchafu) huwezi kuelewa
Wewe punguani mfuasi wa Gwajima ni miongoni mwa watu wajinga sana na amekuwa muda mrefu sana anataka kuiingiza nchi hii kwenye machafuko kwa muda mrefu sana. Amejaribu kuwaingiza wakristo wote kwenye vurugu kashindwa ,akajaribu waingiza idara ya usalama wa taifa kashindwa ,kajarabu kuliingiza jeshi kashindwa ..Taarabu mwanzo mwisho! Wewe ni Hadija Kopa, au ni Mzew Yusuph?
Badala ya kujibu hoja zake, au kututhibitishia kama ni Mwanajeshi kweli, au la!! Wewe unaleta tu vichambo kama vya Bosi wako!! Nyinyi kweli mmepewa mamlaka kwa bahati mbaya sana. Maana uwezo hamna!
Acha hizi mambo mzee!. Video ya hiyo press mbona ipo na huyo mchungaji hapo anafahamika, unapata faida gani kufanya huu ujinga?Tulijua tu kuwa njia ya mwongo huwa ni fupi sana na ilikuwa lazima Gwajima na kundi lake wafikew hapa walipo sasa kwa kuwa wamehangaika muda mrefu sana kulihusisha JWTZ na maujinga yake.
Tuliwaambia huyu anayejiita Kepteni Tesha siyo mwanajeshi wa JWTZ hamkuwa mnasikia na hamkutaka kusikia. Tuliwaambia hakunaga mwanajeshi wa vile hamkuwa mnasikia.
Haya sasa huyu anayejiita Kepteni Tesha alifuata nini kwenye press conference ya Gwajima? Huyu anayejiita Kepteni Tesha ana mahusiano gani na Gwajima?
Gwajima amekidhi vigezo vyote vya kuwa GAIDI na nitashangaa sana kama vyombo vyetu vya usalama watasita kumtafuta kimataifa na kitaifa aje kukabiliana na haya madudud anayoyafanya kwa lengo la kuingiza hii nchi kwenye machafuko..Sishani kama kuna uhaini na njama zaidi ya hizi alizozofanya kwenye jambo hili..Acha hizi mambo mzee!. Video ya hiyo press mbona ipo na huyo mchungaji hapo anafahamika, unapata faida gani kufanya huu ujinga?
Hebu soma tena ulichoandika na nilichoandika hapo juu!. Sipo huko unapotaka twende. Nilikujibu kwenye andiko lako lakusema huyo tesha sijui ndio huyo mchungaji aliekua kwenye press ya gwajima, kitu ambacho sio kweli maana hata ushahidi wa video ya press ya gwajima ipo na huyo mtumishi(mchungaji) anafahamika na waumini wake. Huoni kabisa kuwa wamekueditia na wewe unahalalisha huo ujingaGwajima amekidhi vigezo vyote vya kuwa GAIDI na nitashangaa sana kama vyombo vyetu vya usalama watasita kumtafuta kimataifa na kitaifa aje kukabiliana na haya madudud anayoyafanya kwa lengo la kuingiza hii nchi kwenye machafuko..Sishani kama kuna uhaini na njama zaidi ya hizi alizozofanya kwenye jambo hili..
Uislamu unakujaje tena? Hizi ni juhudi za kupoteza lengo. Unataka kuwagawa watu wenye hoja nzito za maslahi ya nchi yao, waanze kuyatazama masuala kutokana na dini zao.Huyu Ritz ni mmoja ya watu waoabisha Waislam
Mbona kataja hata Force Number yake na kikosi anachofanyia kazi? Kitu gani kinakushinda kudhihirisha uhalali wa uaskari wake mpaka ujikite kwenye sare zake tu?Angalia kofia nembo! Utagundua Kuna kitu hakipo sawa