Megabits
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 532
- 587
Na kweli ndo yeye huyuRidhiwani Kikwete
Jiandae tarehe 29.10.2025,tunaanza na wewe na Baba yako
Mungu ni wetu sote

Mkuu unawakumbuka akina Joachim chinsano,Oliver tambo,sam nujoma,yoweri museven na Paul kagame?Sasa kuishi kama ndezi kama Polepole bila strategy ndiyo unaona ujanja?
Mleta mada hivi una elimu gani? kumradhi Kwa kutoka nje ya mada.Wanaukumbi.
(✍️ na mchambuzi wetu)
TESHA NI KANJANJA TU HAKUNAGA MWANAJESHI WA HIVI JWTZ
Nimemsikiliza huyu mtu aliyejivalisha nguo za JWTZ na anajiita Kepteni Tesha nimebaki najiuliza maswali mengi sana kama hii ndiyo aina ya wanajeshi wetu basi tuna wanajeshi vilaza sana kwenye JWTZ..
Sijamuelewa anaongelea nini na sijamuelewa anataka nini na alitaka kuongea nini kama ni mwanajeshi kweli!.. Kwa kifupi alikuwa anajiumauma tu na kutajataja watu sijui Polepole , Warioba , Jaji nani sijui!.
Mchaga Tesha kanifurahisha na kunichekesha sana kusema eti kaandika barua kwa CDF kuwa jeshi lichukue nchi? Yaani Tesha kwa akili hizi halafu eti anasomea upilot jeshini basi kama ni kweli yuko JWTZ naanza kuelewa kwa nini tunapasuka kila siku tunapokwenda kwenye mission za kulinda amani hata hapo Kongo tu ambako muuza sabuni za mapapai anafuata risasi na bunduki kwa ajili ya kufanya mauaji ya watu
Mchaga Tesha anaongelea sijui Jaji Warioba,sijui Polepole mara Jaji Makaramba!.. Yaani kwa kifupi Tesha anaongelea wanaharakati kuwa ndiyo watu wa maana sana kwenye hii nchi kwa mtazamo wake!.
Tesha pamoja na kuwa anasoma alichokuwa anaongea bado kashindwa kueleweka alikuwa anazungumzia matatizo gani ta watanzania! Yaani Tesha anataka kusema watu wakiogomea uchaguzi kwa sababu zao wenyewe ,watu waliogomea kutoa maoni yao kwenye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ni watu wa maana sana na wanawakilishz watanzania?
Tesha anaongelea kuwa eti JWTZ ndiyo tunaini pekee la watanzania kwa sasa. Ni lini Tesha aliambiwa na watanzania kuwa jeshi limekuwa tegemeo lao kwenye mambo yao?
Halafu ujinga wa Tesha ni wa kiwango cha bumunda gumu sana yaaani. Tesha anaonekana bado ana akili za kitoto sana kuamini kuwa eti jeshi lisimamishe uchaguzi 😆
Tesha hawezi kuwa mwanajeshi wa JWTZ na kuvaa kwake magwanda ya JWTZ siyo kigezo cha kuwa mwanajeshi!..
Wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanahaha sana kuaminisha watu kuwa wakiandamana hiyo tarehe 29.10.2025 kuna wanajeshi watawaunga mkono!.. walianza na propaganda za JWTZ wamemchoka CDF hawamtaki wakaja na mwanajeshi sijui kashika bunduki na uniform analalamika sijui blah blah gani!..
Tesha ni mpango wa wanaharakati na propaganda kama zilivyo propaganda nyingine kuwavuta mkachezee virubgu hiyo tarehe 29.10.2025.
Hivi kuna sehemu duniani jeshi linataka kupindua serikali linaongea? Yaani kepteni wa jeshi si ana uwezo wa kupindua serikali sasa kwenye mavideo anatafuta nini? Yaaani eti anaonba CDF jeshi lipindue serikali? Tesha anatakiwa kurudishwa studio upya kwenda kutengeneza hii cript upya maana ni kama imekosewa!..
WITO ni ule ule kuwa tarehe 29.10.2025 msijichanganye kuandamana hamtakaa muamini kitu mtakutana nacho!.. Hakuna mtu wa kuzuia uchaguzi na hakuna mtu wa kuandamana achilia mbali hao walevi wanaosema watakula wali na tausi wa Ikulu!.
Tayari ushaniambia kitu ambacho hapa si mahala pake.Ninaweza kukuambia kitu ndugu,lkn hapa sio mahala pake.
Hao wote walikuwa na strategy.Mkuu unawakumbuka akina Joachim chinsano,Oliver tambo,sam nujoma,yoweri museven na Paul kagame?
Hawa wote waliishi uhamishoni kwanza
Sijakuuliza au kuandika kaongea la maana soma uelewe, usijibu kwa jazba za uchawa!!.Kaongea kipi cha maana?
Sasa mazingira hayafanani,mambo ni tofauti kwa Kila kitu.Hao wote walikuwa na strategy.
Hao wengi waliishi Dar es salaam na walisuka mipango na Nyerere.
Museveni alikuwa anaenda Ikulu Dar kama kwake. Mpaka nyumba aliyokuwa anakaa Upanga pale corner ya mtaa wa Mindu na Maliki ni apartment ya Ikulu mpaka leo. Alipewa kukaa buree.
Sam Nujoma alikaa Dar.
Chissano kakaa Dar, kalelewa na Nyerere. Anaongea Kiswahili mpaka leo.
Sasa Polepole ana strategy gani?
Wanaukumbi.
(✍️ na mchambuzi wetu)
TESHA NI KANJANJA TU HAKUNAGA MWANAJESHI WA HIVI JWTZ
Nimemsikiliza huyu mtu aliyejivalisha nguo za JWTZ na anajiita Kepteni Tesha nimebaki najiuliza maswali mengi sana kama hii ndiyo aina ya wanajeshi wetu basi tuna wanajeshi vilaza sana kwenye JWTZ..
Sijamuelewa anaongelea nini na sijamuelewa anataka nini na alitaka kuongea nini kama ni mwanajeshi kweli!.. Kwa kifupi alikuwa anajiumauma tu na kutajataja watu sijui Polepole , Warioba , Jaji nani sijui!.
Mchaga Tesha kanifurahisha na kunichekesha sana kusema eti kaandika barua kwa CDF kuwa jeshi lichukue nchi? Yaani Tesha kwa akili hizi halafu eti anasomea upilot jeshini basi kama ni kweli yuko JWTZ naanza kuelewa kwa nini tunapasuka kila siku tunapokwenda kwenye mission za kulinda amani hata hapo Kongo tu ambako muuza sabuni za mapapai anafuata risasi na bunduki kwa ajili ya kufanya mauaji ya watu
Mchaga Tesha anaongelea sijui Jaji Warioba,sijui Polepole mara Jaji Makaramba!.. Yaani kwa kifupi Tesha anaongelea wanaharakati kuwa ndiyo watu wa maana sana kwenye hii nchi kwa mtazamo wake!.
Tesha pamoja na kuwa anasoma alichokuwa anaongea bado kashindwa kueleweka alikuwa anazungumzia matatizo gani ta watanzania! Yaani Tesha anataka kusema watu wakiogomea uchaguzi kwa sababu zao wenyewe ,watu waliogomea kutoa maoni yao kwenye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ni watu wa maana sana na wanawakilishz watanzania?
Tesha anaongelea kuwa eti JWTZ ndiyo tunaini pekee la watanzania kwa sasa. Ni lini Tesha aliambiwa na watanzania kuwa jeshi limekuwa tegemeo lao kwenye mambo yao?
Halafu ujinga wa Tesha ni wa kiwango cha bumunda gumu sana yaaani. Tesha anaonekana bado ana akili za kitoto sana kuamini kuwa eti jeshi lisimamishe uchaguzi 😆
Tesha hawezi kuwa mwanajeshi wa JWTZ na kuvaa kwake magwanda ya JWTZ siyo kigezo cha kuwa mwanajeshi!..
Wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanahaha sana kuaminisha watu kuwa wakiandamana hiyo tarehe 29.10.2025 kuna wanajeshi watawaunga mkono!.. walianza na propaganda za JWTZ wamemchoka CDF hawamtaki wakaja na mwanajeshi sijui kashika bunduki na uniform analalamika sijui blah blah gani!..
Tesha ni mpango wa wanaharakati na propaganda kama zilivyo propaganda nyingine kuwavuta mkachezee virubgu hiyo tarehe 29.10.2025.
Hivi kuna sehemu duniani jeshi linataka kupindua serikali linaongea? Yaani kepteni wa jeshi si ana uwezo wa kupindua serikali sasa kwenye mavideo anatafuta nini? Yaaani eti anaonba CDF jeshi lipindue serikali? Tesha anatakiwa kurudishwa studio upya kwenda kutengeneza hii cript upya maana ni kama imekosewa!..
WITO ni ule ule kuwa tarehe 29.10.2025 msijichanganye kuandamana hamtakaa muamini kitu mtakutana nacho!.. Hakuna mtu wa kuzuia uchaguzi na hakuna mtu wa kuandamana achilia mbali hao walevi wanaosema watakula wali na tausi wa Ikulu!..
Angalia kofia nembo! Utagundua Kuna kitu hakipo sawa
Sasa unajuaje kama kuna strategy au mnapelekwa ki mburula tu kwa viral videos ambazo hazina strategy?Sasa mazingira hayafanani,mambo ni tofauti kwa Kila kitu.
Sio lazima strategy za Hawa wa Leo wewe uzijue.
Tutakuja kujua mwisho wa mtanange huu,maana lazima mwisho utafika.
Zamani ilikua ni kabla ya Uhuru,
Sasa ni kudai denokrasia,
Zamani ilikua ni kuwapinga wakoloni,
Sasa ni kupinga ukandamizaji,
Zamani ni poor technology,
Sasa hivi ni high technology.
Kanjanja ndio akina nyie chawa wa bei cheeWanaukumbi.
(✍️ na mchambuzi wetu)
TESHA NI KANJANJA TU HAKUNAGA MWANAJESHI WA HIVI JWTZ
Nimemsikiliza huyu mtu aliyejivalisha nguo za JWTZ na anajiita Kepteni Tesha nimebaki najiuliza maswali mengi sana kama hii ndiyo aina ya wanajeshi wetu basi tuna wanajeshi vilaza sana kwenye JWTZ..
Sijamuelewa anaongelea nini na sijamuelewa anataka nini na alitaka kuongea nini kama ni mwanajeshi kweli!.. Kwa kifupi alikuwa anajiumauma tu na kutajataja watu sijui Polepole , Warioba , Jaji nani sijui!.
Mchaga Tesha kanifurahisha na kunichekesha sana kusema eti kaandika barua kwa CDF kuwa jeshi lichukue nchi? Yaani Tesha kwa akili hizi halafu eti anasomea upilot jeshini basi kama ni kweli yuko JWTZ naanza kuelewa kwa nini tunapasuka kila siku tunapokwenda kwenye mission za kulinda amani hata hapo Kongo tu ambako muuza sabuni za mapapai anafuata risasi na bunduki kwa ajili ya kufanya mauaji ya watu
Mchaga Tesha anaongelea sijui Jaji Warioba,sijui Polepole mara Jaji Makaramba!.. Yaani kwa kifupi Tesha anaongelea wanaharakati kuwa ndiyo watu wa maana sana kwenye hii nchi kwa mtazamo wake!.
Tesha pamoja na kuwa anasoma alichokuwa anaongea bado kashindwa kueleweka alikuwa anazungumzia matatizo gani ta watanzania! Yaani Tesha anataka kusema watu wakiogomea uchaguzi kwa sababu zao wenyewe ,watu waliogomea kutoa maoni yao kwenye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ni watu wa maana sana na wanawakilishz watanzania?
Tesha anaongelea kuwa eti JWTZ ndiyo tunaini pekee la watanzania kwa sasa. Ni lini Tesha aliambiwa na watanzania kuwa jeshi limekuwa tegemeo lao kwenye mambo yao?
Halafu ujinga wa Tesha ni wa kiwango cha bumunda gumu sana yaaani. Tesha anaonekana bado ana akili za kitoto sana kuamini kuwa eti jeshi lisimamishe uchaguzi 😆
Tesha hawezi kuwa mwanajeshi wa JWTZ na kuvaa kwake magwanda ya JWTZ siyo kigezo cha kuwa mwanajeshi!..
Wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanahaha sana kuaminisha watu kuwa wakiandamana hiyo tarehe 29.10.2025 kuna wanajeshi watawaunga mkono!.. walianza na propaganda za JWTZ wamemchoka CDF hawamtaki wakaja na mwanajeshi sijui kashika bunduki na uniform analalamika sijui blah blah gani!..
Tesha ni mpango wa wanaharakati na propaganda kama zilivyo propaganda nyingine kuwavuta mkachezee virubgu hiyo tarehe 29.10.2025.
Hivi kuna sehemu duniani jeshi linataka kupindua serikali linaongea? Yaani kepteni wa jeshi si ana uwezo wa kupindua serikali sasa kwenye mavideo anatafuta nini? Yaaani eti anaonba CDF jeshi lipindue serikali? Tesha anatakiwa kurudishwa studio upya kwenda kutengeneza hii cript upya maana ni kama imekosewa!..
WITO ni ule ule kuwa tarehe 29.10.2025 msijichanganye kuandamana hamtakaa muamini kitu mtakutana nacho!.. Hakuna mtu wa kuzuia uchaguzi na hakuna mtu wa kuandamana achilia mbali hao walevi wanaosema watakula wali na tausi wa Ikulu!..
Inaonesha vyuo vya kijeshi nchini Tanzania na chuo cha ulinzi wa Taifa vina rasilimali watu ya wahadhiri wazuri walio maofisa wa kijeshi na raia pia kuwapika maofisa kuweza kuchanganua mambo mengi mtambuka kama ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kidiplomasia, kiusalama na kiulinzi n.k
Uchawa umeingiaje tena hapa?Sijakuuliza au kuandika kaongea la maana soma uelewe, usijibu kwa jazba za uchawa!!.