LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,515
- 3,928
Pole pole hana strategy? We basi hujui unachokiongea na uwezo wako wa critical thinking ni mdogo. We unataka Polepole aingie mtaani kuandamana kwenye mazingira ya hovyo yaliyopo hapa nchini kwa sasa ndio uone ana strategy?Sasa kuishi kama ndezi kama Polepole bila strategy ndiyo unaona ujanja?
Unamuona tu Polepole ila walio nyuma ya Polepole wamefichwa machoni na akilini mwako ili Lengo kuu la ukimbozi litimie!
POLE SANA MWANANCHI WA KAWAIDA!