Tesha ni kanjanja tu hakunaga mwanajeshi wa hivi JWTZ

Yupo komainia ipi apo JWTZ?
 
Kama ni JWTZ kweli atachinjiwa baharini tu kwa kukosa strategic thinking.
He's not that stupid...

You can't spot him anywhere. Anatumia style ya Humphrey Polepole...

Ametangulizwa kusema...

Wenzake, watekelezaji wa kinachofuata huwezi kuwajua....

There's very smart move imeandaliwa..

The best option ni waungwana kuwahi kumwambia huyu bibie akae pembeni...

Ni heri shari ndogo kuliko shari kamili...

Tutakubali tu kula hii hasara ya hiki kinachoitwa "maandalizi ya uchaguzi wa 2025" sasa kabla hata ya kufika hiyo 29/10..

HAKUNA UCHAGUZI 2025. Kama hamuamini, ingalau oneni kwa macho yanayoendelea...
 
watu mlioko jikoni mna matumaini sana.
 
Sasa kuishi kama ndezi kama Polepole bila strategy ndiyo unaona ujanja?
 
Jitahidi kujiepusha na vi aibu vidogovidogo
 
 
JK NA RA Watanyongwa hadharani siku nchi ikijikomboa kutoka gamg ufisadi....mtatapika pesa zote mlizoiba..muda utasema yote !!!
 
hujawahi kupita jeshini nn, amna captein kama tesha
 
Kiranga naona saivi hali yako mbaya sana.

Una ndugu kiongozi nini? Mbona kama umechanganyikiwa sasaivi?

Tulia Watanzania tulikomboe Taifa letu.
uhakika mkuu, tarh 29 hakikisha unaingia road
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…