Soul21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 210
- 351
Mimi naweza kuonekana mkorofi ila mwisho naweza kusema hakuna anayejali elimu ya Tanzania zaidi ya mislaid binafsi.
Kumekuwa na semina ambazo hazileti matokeo chanya kwa sababu zinafikia watu wachache huku posho ikiwa njia ya ufujaji wa pesa bila lengo kufikia walimu wote.
Natoa rai mfano semina ya sasa ya coding haiendani na mabadiliko ya akili bandia
Pia, kwani TET hawezi kurekodi video bora na kuweka kwenye ukurasa au youtube ambapo walimu wengi watafikiwa na hata hiyo pesa ya semina ikatumika kununua Manawati au kujenga nyumba za walimu huko vijijini ambapo mateso ni makubwa.
Prof Mkenda baba yangu, una malengo makubwa ila utekelezaji ni maigizo matupu ambayo hayana uhalisia zaidi ya wizi wa pesa.
Tunahitaji mabadiliko ya elimu kwa vitendo ila kwa namna hii iliyokosa ubunifu basi safari ndefu.