Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Rekodi yao ya mateteneko tangu kipindi Yesu akiwa bado yupo duniani hajapa Mbinguni, iko hapa

 
Sayansi ya tetemeko sijaielewaga kwa kweli
Itkee siku moja uyalundike pamoja mawe mengi yenye maumbo tofauti tofauti mahali fulani na ikiwezekana yawe katika umbo la pembetatu ya msonge na yafikie kimo cha kutosha. Baada ya hapo, pandisha juu ya kilele hicho cha mawe hayo halafu uone kitakachotokea. Yataanza kutafuta stability kwa kujipanga upya tofauti na ulivyokuwa umeyapanga awali ili yaweze kuwa kwenye hali inayoitwa "stable equillibrium"

Kitakachotokea ni kwamba yataanza kujpanga na possibly, kuanza kudidimia chini. Sasa jaribu ku-imagine kama ungekuwa umejenga kibada chako kwenye mawe hayo
 
Lile tetemeko la Bukoba liliathiri Tu nyumba za ghorofa?
Tetemeko lina uwezo wa kupita na kuharibu maghorofa huku nyumba za kawaida zikibaki salama
Kimo cha mawimbi (amplitude) ya tetemeko kikiwa kirefu mawimbi hayo yatalipita jengo la nyumba ya kawaida lisilokuwa na kimo kirefu bila kuligusa halafu yatakwenda kugongana na majengo mengine marefu yenye urefu sawa au kuzidi kimo cha mawimbi yenyewe.

Kwa hiyo linaweza kupita tetemeko ambalo mtu aliyekaa ghororfa ya kuanzia ya kwanza na kuendelea, atalisikia, lakini yule aliyekaa ground floor hawezi kulisikia. Ni kwa sababu litatikisa kwa kuyumbisha jengo, yaani jengo linakuwa linanesanesa.

Mfano wa matetemeko kama haya, ni kama ille lililowahi kutokea baharini hapa kwetu June 2012 usawa wa Kigamboni na kusababisha taharuki city centre kwa sababu maghaorofa yalianza kuyumba kwa kunesanesa
 
Mkuu unataka kuniambia taifa kama Uturuki halina uwezo wa kununua vifaa vya namna hiyo?
 
Sipati picha lingetokea bongo janga kama la uturuki sijui kama wangeonekana watu kama Crimea na wenzie kuleta kejeli
Naomba nikushauir katika hili; stick with God; hata kama huamini kama Mungu yupo. Fanya tu ile pata potea ya kumuomba tu Mungu hili lisije likatokea milele kwenye nchi yetu, hata kama huamini kwamba Mungu yupo
 
Usiombee bhna ,tukatae hyo roho kwa damu ya yesu

Sent from my Infinix UX650 using JamiiForums mobile app
Usione tnajadili humu; baddhi yetu wanaweza kuwa ndiyo ma-agent wa haya matukio. Kwenye ulimwengu wa roho, umbali wa kutoka hapo ulipo wewe kwenda Uturuki, unalingana tu na umbali kati yako na kiti na meza zako unazotumia hapo ofisii kwako au nyumbani kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…