Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili sana; Mungu akubariki sanaDuu...la Bukoba 2016 lilikuwa 5.9...sasa hili 7.9!! Aisee I feel them...
Sema tetemeko lisikie Tu kwa watu wengine...Ile kitu haifai
0:14 dah. Mungu awatie nguvu 🙏
Rekodi yao ya mateteneko tangu kipindi Yesu akiwa bado yupo duniani hajapa Mbinguni, iko hapaSababu kuu ya kutokea matetemeko makubwa makubwa kule uturuki hususani hili la jana ni kwamba nchi ya uturuki ipo kati kati baina ya Arabian plate na Eurasian plate, kwaiyo haya maplate mawili huwa yana-converge each other au yana-collide other au kwa lugha nyepesi huwa yanagongana kwaiyo kile kitendo cha kugongana kwa haya maplates mawili ndio inapelekea ardhi kutetemeka na kupelekea athari mbalimbali ikiwemo kuharibika kwa majengo.
Itkee siku moja uyalundike pamoja mawe mengi yenye maumbo tofauti tofauti mahali fulani na ikiwezekana yawe katika umbo la pembetatu ya msonge na yafikie kimo cha kutosha. Baada ya hapo, pandisha juu ya kilele hicho cha mawe hayo halafu uone kitakachotokea. Yataanza kutafuta stability kwa kujipanga upya tofauti na ulivyokuwa umeyapanga awali ili yaweze kuwa kwenye hali inayoitwa "stable equillibrium"Sayansi ya tetemeko sijaielewaga kwa kweli
6.8Lile la Kagera halikufikia hiyo 7.8
Hilo ni kubwa sana
Oh God [emoji24][emoji24]Vifo vyaweza kuvuka 10000 maana watu zaidi ya 80,000 wamefunikwa na vifusi.
Tetemeko lina uwezo wa kupita na kuharibu maghorofa huku nyumba za kawaida zikibaki salamaLile tetemeko la Bukoba liliathiri Tu nyumba za ghorofa?
Mkuu unataka kuniambia taifa kama Uturuki halina uwezo wa kununua vifaa vya namna hiyo?Hata tetemeko linatambulika pia sawa tu na vimbunga isipokuwa vifaa vya kufanya kazi hiyo ni ghali mno. Vifaa vikipatikana, ni kazi rahis tu na unaweza hata ukam-train mtoto wa darasa la saba akawa anajua, providea awe anajua kutumia Komputa. Ni swala tu la kusoma taafifa kutoka kwenye computer ambayo imewekwa mahali, kitu ambacho mtu yeyeote anayejua kutumia kompyuta anaweza akafanya
Possibly kuna haja ya kuishauri Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, waandae mpango wa kununua vifaa hivi hata baadaye. Ni rahisi mno kusoma taarifa vifaa vikishakuwepo, mtu yeyote anaweza akafundishwa na akasoma na hazihitaji utaalamu wowote
Still, watu wa mamlaka ya hali ya hewa tayari wao ni wataalamu wanaoweza kufanya kazi hiyo vifaa vikishakuwepo. Mama Kijazi anao wataalamu kibao pale ofisini kwake
Naomba nikushauir katika hili; stick with God; hata kama huamini kama Mungu yupo. Fanya tu ile pata potea ya kumuomba tu Mungu hili lisije likatokea milele kwenye nchi yetu, hata kama huamini kwamba Mungu yupoSipati picha lingetokea bongo janga kama la uturuki sijui kama wangeonekana watu kama Crimea na wenzie kuleta kejeli
Mtoto wake atakufa huku akimuona masikini inauma sana.Kuna Mzazi kashindwa muokoa mtoto wake sababu alipo hakuna mtu anaweza fika.
Ila anamuambia arudie shahaada
Usione tnajadili humu; baddhi yetu wanaweza kuwa ndiyo ma-agent wa haya matukio. Kwenye ulimwengu wa roho, umbali wa kutoka hapo ulipo wewe kwenda Uturuki, unalingana tu na umbali kati yako na kiti na meza zako unazotumia hapo ofisii kwako au nyumbani kwakoUsiombee bhna ,tukatae hyo roho kwa damu ya yesu
Sent from my Infinix UX650 using JamiiForums mobile app
Kuna watu wanawaua wenzao pale ghaza, juzi wameamrisha raia zao kuua binaadam wenzao.Sasa kama mungu angewashushia gharika kama hii ili wajue kwamba utu ni muhimu na unatakiwa kuheshimiwa.YOTE NI KUHUSU UBINAADAMU.Sijaelewa, hebu nieleweshe tafadhali.