Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Mkuu unataka kuniambia taifa kama Uturuki halina uwezo wa kununua vifaa vya namna hiyo?
Wanao isipokuwa tu pengine labda ni maswala ya priority tu. Kwa sisi ndiyo shida kwa sababu inaweza ikachukua angalau Billion 20USD; kwa vile ambavyo vinaweza ku-detect kutokea mahali popote pale duniani. Kwa vile vya masafa mafupi vinavyoweza ku-detect angalau kutoka tuseme umbali wa km 4000; hivyo Mama Kijazi tunaweza kumpatia fedha yake na tukavinunua

Muda mfupi uliopita nimeangalia kwenye mtandao na kukuta bei ni dola 1160 kwa mita moja na vinaanzia mita 300. Hii maana yake ni kwamba ukinunua kifaa chenye uwezo wa kuhisi hatari iliyoko kuanzia mita 300 kushuka cinini, kutokea pale ulipo wewe, inabidi utumie kiasi cha USD 300*1160=348000USD (dola takriban laki tatu na nusu)

Hapa sasa inabidi upige mahesabu kwa vile ambavyo vinaweza kuhisis hatari pipote pale duniani. Mzingo wa dunia ni km 40,075.017

Ili uweze kuweka chombo mahali fulani na kiweze kuhisi hatari zinazotokea popote pale kwenye uso wa dunia, inabidi hizi km uzigawanye kwa mbili. Kwa hiyo inabidi ununue kifaa chenye thamani ya (40,075.017/2)*1000*1160USD ambayo ni kama 23 biillion Dollars; unless kama nimeangalia bei vibaya au sikuelewa kilichokuwa kimaendikwa kwenye website
 
Huyo siyo mtabiri bali ni mtafiti kama walivyo watafiti wengine. Anatumia vifaa vinaitwa "Early Warning Systems" ambavyo vina uwezo wa kutoa taarifa za hatari inayokuja ardhini au baharini, siku kadhaa nyuma. Ubaya tu ni kwamba vinatoa taarifa ili mujiandae na dharura kwa sababu huwezi ukazuia tetemeko au kimbunga. Hata hivyo vinasaidia kwa sababu mnaweza kupata nafasi ya kujiandaa kwa kuhamia sehemu nyingine salama na kuondoka kwenye eneo la hatari

Haya majanga ya aina hii yasikie tu yakiwa yanatolewa taarifa, hutakiwi kabisa kuyashuhudia. Yaani unatakiwa umkabe Mungu shingoni kabisa na siyo kiunoni tu huku ukimwambia kuwa kwa matukio ya aina hii, Mungu wangu sikuachii shingo yako katika kuhakikisha kuwa unanilinda na matukio haya
Mkuu marekebisho mungu hana shingo wala kiuno.
 
Acha mbwembwe...si useme tu...yaani kuna watu wanajikutaga kama yaani Mungu ni wao peke Yao. Mnaboa sana. Kujitiaga ujuajii...na kuona wengine wakosajiii....
Nasikia eti ukichomewa Qur'an wewe unaelalamikia kuchomewa Qur'an unapigwa na tetemeko la sekunde 90, kweli au uongo?
 
Mkuu marekebisho mungu hana shingo wala kiuno.
Siku akiamua kuja kwako, atakuwa na viungo vyote ulivyo navyo wewe.

Manoa asked the name of the man who came to him while he was in the field and the man responded to Manoa by asking him a question "Why do you want to know my name? It's beyond undersatnding.

Manoa angekutana na Malaika siku hiyo, Malaika angeweza kumjibu tu kwa kifupi kuwa mimi ni Malaika Gabriel; the messenger angel
 
TANZANIA TUPELEKE TEAM YA UOKOZI .

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Waliojitoa kupeleka msaada Turkiye na Syria katika uokozi wa janga la tetemeko la ardhi lililotokea hivi majuzi sio kwamba nchini kwao wamejitosheleza bali ni katika kuonyesha mshikamano na jamii ya kimataifa , tupeleke hata waokozi 10 tu kutoka kitengo cha maafa , hii itatuma ujumbe mkubwa sana duniani, pili watapata uzoefu na kujifunza mengi sana jinsi ya kukabiliana na majanga , nchi nyingi zilizopeleka teams za uokoaji wametumia fursa hiyo ili kupata uzoefu na kujifunza kwa wengine jinsi ya kukabiliana na majanga.

Nawasilisha.
 
Duh speechless.
 
Mkuu kuwa serious sisi tupeleke hao wataalamu 10 wa uokozi wa level za kidunia tunawatoa wapi, au unataka tukapate aibu huko duniani.
 
Back
Top Bottom