Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Ila km Qur'an isingechomwa na Sweden na Turkey isingekua msitari wa mbele kulalamika yote haya yasingetokea, hapo pia utapinga?

Erdogan anasema zaidi ya watu 5000 wamefariki dunia, pole kwa Marehemu walale wanapostahiri
Toa ufunuo wa ajali ya Ndege Bukoba ,Titanic ,Tetemeko Chile,Mabomu ya mbagala na Gongolamboto vipi huko nako Qu'ran imesababisha ?
 
Mkuu umeniquote vibaya, sorry km nmekukwaza kiongozi
 
Pumbavu nimeQuquote vibaya wapi wakati ni maneno yako mwenyewe kuwa kama Uturuki asingelalamika kuchomwa kwa Qur'an kuwa tetemeko lisingetokea na huo ndio msimamo wako tokea mwanzo wa uzi na kuitukuza Sweeden kwenye maafa haya halafu sasa unajifanya kujikataa ?
IMG_20220919_065830.jpg
 
Mkuu umeniquote vibaya, sorry km nmekukwaza kiongozi
Mimi hujanikwaza nilikuwa nakurekebisha uwe na utu na kujiheshimu maana hujui Kesho yako na hakuna aliyesalama na haya majanga hata mimi naweza kupata Daladala likapata ajali na kupoteza maisha sasa si vema mtu aanze kunikejeli kuwa kisa sikumuamini Yesu kristo kama mkombozi ndio maana sikupona kama wewe jinsi unavyoleta kejeli na files potufu kama vile unamamlaka juu ya yale yatakayo kutokea mbeleni..
 
Mchezaji Christian Atsu ameokolewa kwenye kifusi huko Turkey amepona, mkurugenzi wao bado yupo chini ya kifusi hajatolewa hadi mda huu
Unaona hapa ulivyomjinga comment yako hakihusiani na na jinsi nilivyocomment ?

Umemtaja Atsu kutaka kuweka udini kuwa ukiristo ndio uemuokoa wakati mimi sijahusisha udini coz najua hajali haichagui yoyote anaweza kufa au kupona.

Naona sasa umefika kiwango cha ujinga ambacho haustaili kujibiwa inabidi nikupuuze kuanzia sasa maana inaonekana kabisa kuwa kichwani hamna kitu.

IMG_20220419_163155.jpg
 
Mimi hujanikwaza nilikuwa nakurekebisha uwe na utu na kujiheshimu maana hujui Kesho yako na hakuna aliyesalama na haya majanga hata mimi naweza kupata Daladala likapata ajali na kupoteza maisha sasa si vema mtu aanze kunikejeli kuwa kisa sikumuamini Yesu kristo kama mkombozi ndio maana sikupona kama wewe jinsi unavyoleta kejeli na files potufu kama vile unamamlaka juu ya yale yatakayo kutokea mbeleni..
Sawa mkuu samehe basi tupatane kiungwana, Sweden amejiunga katika zile nchi 70 kwenda kutoa msaada Turkey?
 
Naona sasa umefika kiwango cha ujinga ambacho haustaili kujibiwa inabidi nikupuuze kuanzia sasa maana inaonekana kabisa kuwa kichwani hamna kitu.
Sawa kiongozi, Sweden amejiunga na zile nchi 70 kwenda kutoa msaada Turkey?
 
Hivi katika nchi 70 zinazoenda kutoa misaada Turkey, Sweden ipo?
Sifàhamu ,kama yupo ni vizuri hata binadamu kikawaida mtaani wakati wa matatizo makubwa uadui unakuwa pembeni kwa muda ,
 
Bado natafakari sana maisha ya mwanadamu juu ya uso wa dunia maana yake nini?
Mbona kama dunia haitutaki sisi binadamu, mbona athari kama hizi ni nadra sana kutokea kwa viumbe wengine isipokuwa binadamu pekee?
 
"Kila nafsi ni yenye kuonja mauti, na hakika mambo yalivyo mtapewa ujira wenu kamili siku ya qiyama, na yeyote atakayeepushwa na moto na akaingizwa peponi basi hakika huyo amefaulu, na hayakuwa maisha ya dunia isipokuwa ni starehe tu ya udanganyifu."

Qur'an 3:185
 
Si waliipiga Moto 🔥 hii? Nasikia ukiipiga Moto 🔥 yanakukuta makuu sasa imekuaje waliochoma hawajapatwa na tetemeko Ila waliolalamika kuchomewa Qur'an ndio yamewakuta matetemeko?
 
Back
Top Bottom