adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Toa ufunuo wa ajali ya Ndege Bukoba ,Titanic ,Tetemeko Chile,Mabomu ya mbagala na Gongolamboto vipi huko nako Qu'ran imesababisha ?Ila km Qur'an isingechomwa na Sweden na Turkey isingekua msitari wa mbele kulalamika yote haya yasingetokea, hapo pia utapinga?
Erdogan anasema zaidi ya watu 5000 wamefariki dunia, pole kwa Marehemu walale wanapostahiri