Tetemeko la ardhi Arusha, kuna mwingine alilihisi?

Tetemeko la ardhi Arusha, kuna mwingine alilihisi?

Poleni Arusha.

Muhimu hakuna Majeruhi wala waliopoteza Maisha, basi ni Kheri
 
Hiyo milima meru na kilimanjaro si dormant au?

#MaendeleoHayanaChama
Ni dormant mkuu, sema Arusha ni jirani na mlima Meru nahisi ni hai. Depal anaweza saidia khs mlima Meru
IMG_20210904_182733_046.jpg
 
Ni dormant mkuu, sema Arusha ni jirani na mlima Meru nahisi ni hai. Depal anaweza saidia khs mlima MeruView attachment 1932799
Hii picha ni ya lini + wapi? Huku si kuna wingu hata Mt. Meru haionekani...

Hai si Kilimanjaro? Me najua Mt. Meru iko Arusha ' exactly location IDK. Ila USA river - Momella kuna gate/ njia ya kufika Mt. meru.
 
Hii picha ni ya lini + wapi? Huku si kuna wingu hata Mt. Meru haionekani.

Hai si Kilimanjaro? Me najua Mt. Meru iko Arusha ' exactly location IDK. Ila USA river - Momella kuna gate/ njia ya kufika Mt. meru.
Napapenda arusha. Huo ukijani hapo chini unaukita umehamishiwa USA Au tengeru sokoni saafi kabisa.
 
Back
Top Bottom