Tetemeko la ardhi Arusha, kuna mwingine alilihisi?

Tetemeko la ardhi Arusha, kuna mwingine alilihisi?

Hii picha ni ya lini + wapi? Huku si kuna wingu hata Mt. Meru haionekani...

Hai si Kilimanjaro? Me najua Mt. Meru iko Arusha ' exactly location IDK. Ila USA river - Momella kuna gate/ njia ya kufika Mt. meru.
picha ya week hii wakati jua linazama nilikuwa maeneo ya Manyire ukivuka EA road. umenimanya mmeru?
 
Sikulisikia hilo tetemeko ila usingizi ulikata mida ya saa sita ikabidi niamke nipange nguo zangu vizuri, nilipomaliza nikatoka nje nikaota upepo wa baridi kama dakika 30 nikaingia ndani, Hali ya jana haijawahi kunipata wakati mwingine.
 
Back
Top Bottom