Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
Limepita kwa speed ya kipekee sana, mbwa wamebweka kila mahali!Litakua ni 4.8 kwa kipimo cha richter
Fumbo lipo hapo kwenye imaniFundi anarekebisha misingi ya dunia na kuziba nyufa zake msiwe na hofu. Lakini kiimani ni indication ya mambo kadha wa kadha
Unaishi moshono mrembo?Ndio naamka sahihi. Moshono, hamna kitu nimesikia π.
Asante sana, tupo salamaPoleni Arusha.
Muhimu hakuna Majeruhi wala waliopoteza Maisha, basi ni Kheri
mlalavi tu ππKwani sabaya hapo Gerezani amehisije?
Huenda ilikuwa ni ndoto ya kutosha tuHabari wanafamilia wa Jamiiforums.
Muda 3:48 am kishindo cha kasi sana/ tetemeko la ardhi limepita maeneo ya Arusha.
Je! Kuna yeyote aliyepo Arusha amelisikia?
Huenda ikawa boss kubwaHuenda ilikuwa ni ndoto ya kutosha tu
Hii picha ni ya lini + wapi? Huku si kuna wingu hata Mt. Meru haionekani...Ni dormant mkuu, sema Arusha ni jirani na mlima Meru nahisi ni hai. Depal anaweza saidia khs mlima MeruView attachment 1932799
Napapenda arusha. Huo ukijani hapo chini unaukita umehamishiwa USA Au tengeru sokoni saafi kabisa.Hii picha ni ya lini + wapi? Huku si kuna wingu hata Mt. Meru haionekani.
Hai si Kilimanjaro? Me najua Mt. Meru iko Arusha ' exactly location IDK. Ila USA river - Momella kuna gate/ njia ya kufika Mt. meru.