Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
- Thread starter
-
- #21
picha ya week hii wakati jua linazama nilikuwa maeneo ya Manyire ukivuka EA road. umenimanya mmeru?Hii picha ni ya lini + wapi? Huku si kuna wingu hata Mt. Meru haionekani...
Hai si Kilimanjaro? Me najua Mt. Meru iko Arusha ' exactly location IDK. Ila USA river - Momella kuna gate/ njia ya kufika Mt. meru.
Kuna tetesi kwamba kengele zake zimegonganaKwani sabaya hapo Gerezani amehisije?
Itabidi tutembeleane tupeane pole kwa hili tetemeko... Nipo hapa sanawari πNdio naamka sahii... Moshono, hamna kitu nimesikia π.
tetemeko lilipita usiku mneneMbona nipo ngaree sijahisi mtikisiko wowote?
Nimekupata πpicha ya week hii wakati jua linazama nilikuwa maeneo ya Manyire ukivuka EA road. umenimanya mmeru?