Tetesi: Tetemeko la ardhi Kigoma leo alfajiri

support wpn

Senior Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
152
Reaction score
14
Kuna tetemeko dogo limepiga Leo kigoma wilaya ya buhigwe alfajiri
 
Poleni Hakuna Maafa Na Uharibifu Wa Mali
 
Kuna tetemeko dogo limepiga Leo kigoma wilaya ya buhigwe alfajiri
Hiyo ni Mizimu tu ya Kiha inamtakia Safari Njema Makamu wa Rais Dkt. Philip Isidori Mpango katika Ziara yake ya kwenda kusafisha Nyota yake huko nchini Singapore.
 
We jamaa ngoja Waha waje wakusute.
Wabishi wale jamaa hatari
 
Back
Top Bottom