Tetemeko la ardhi limetokea Katavi na Mpanda

Tetemeko la ardhi limetokea Katavi na Mpanda

Limepita apa mpanda nilikua bar digital apa bia yangu nimemwagiza. Lilivokuja mara ya pili limekuta nimelala
Hahaha Mkuu totoz za hapo tamu sana hoyo Chalii wa Kaskazini mwenye Degital huwa anazitoleaga wapi ....nakwa MankaMushi chimbo la kimyakimya
 
Back
Top Bottom